Mkuu wa mkoa wa Mara, Magesa Mulongo yeye anakamua hata Muwasho akidhani ni Jipu

NYACHA

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
273
65
Wadau, kuna habari zimeenea Mkoani Mara kua Magesa Mulongo ameagiza mara moja kusimamishwa kazi maafisa elimu wa halmashauri za mkoa huo kwa kigezo cha maafisa kutowapa zawadi wawezeshaji na wadau wa Elimu (walimu & wanafunzi) kwa muda usiozidi miaka miwili. Pia amewataka Wakurugenzi kutoa maelezo.

Kiukweli huyu Mulongo amejitahidi sana kutumbua miwasho ya jasho, chunusi, vipele na majipu pia tangu akiwa MWANZA kama mkuu wa Mkoa, lakini mpaka Leo yeye hajapewa zawadi kama motisha kwake, kwake yeye hata muwasho anaita jipu! Sasa mi nahisi akibahatika kuwa Raisi 2025 baada ya JPM lazima Rais wetu Magu atumbuliwe nae kwa kigezo cha kuwa bahili.

Ndugu wana Jf huyu MKUU wa mkoa mi simuelewi kabisa kila kukicha anawaza atumbue nini ili raisi amuone! Lakini mbona kama vile raisi alishamuona kitambo na ndo maana akamteua kuwa MKUU wa mkoa!

HII SASA SIFAAAAAAAA!!!

Hivi huyu Mulongo anajua tabu wanayoipata siku hizi maafisa elimu baada ya kuziba kwa mrija wa pesa zilizokua zikipita na kuelekea mashuleni? Wafanyakazi wengi wa halmashauri kwa sasa wote wanalia njaaa! Usikute hiyo motisha hawana kabisa!

Nadhani Mulongo alipaswa kukaa nao hao Maafsa Elimu na kujadili kipi kifanyike ili kutoa hiyo motisha! Sio kukurupuka tu!

Ila Magu kashakuona basi inatosha usikamue nyama kulazisha kwamba ni jipu!
Slogan ya raisi wetu ya ukamuaji majipu hukuielewa mkuu badilika! Nchi haijengwi ivo.
 
Waambie mods wabadili tittle ya post yako kwa vile inapingana na kilichomo ndani. Magesa Mulongo ni Mkuu wa Mkoa wa Mara na si Mwanza.
 
kweli wakuu! heading imekosewa!

Mods please edit the heading of my thread.
 
Wadau, kuna habari zimeenea Mkoani Mara kua Magesa Mulongo ameagiza mara moja kusimamishwa kazi maafisa elimu wa halmashauri za mkoa huo kwa kigezo cha maafisa kutowapa zawadi wawezeshaji na wadau wa Elimu (walimu & wanafunzi) kwa muda usiozidi miaka miwili. Pia amewataka Wakurugenzi kutoa maelezo.

Kiukweli huyu Mulongo amejitahidi sana kutumbua miwasho ya jasho, chunusi, vipele na majipu pia tangu akiwa MWANZA kama mkuu wa Mkoa, lakini mpaka Leo yeye hajapewa zawadi kama motisha kwake, kwake yeye hata muwasho anaita jipu! Sasa mi nahisi akibahatika kuwa Raisi 2025 baada ya JPM lazima Rais wetu Magu atumbuliwe nae kwa kigezo cha kuwa bahili.

Ndugu wana Jf huyu MKUU wa mkoa mi simuelewi kabisa kila kukicha anawaza atumbue nini ili raisi amuone! Lakini mbona kama vile raisi alishamuona kitambo na ndo maana akamteua kuwa MKUU wa mkoa!

HII SASA SIFAAAAAAAA!!!

Hivi huyu Mulongo anajua tabu wanayoipata siku hizi maafisa elimu baada ya kuziba kwa mrija wa pesa zilizokua zikipita na kuelekea mashuleni? Wafanyakazi wengi wa halmashauri kwa sasa wote wanalia njaaa! Usikute hiyo motisha hawana kabisa!

Nadhani Mulongo alipaswa kukaa nao hao Maafsa Elimu na kujadili kipi kifanyike ili kutoa hiyo motisha! Sio kukurupuka tu!

Ila Magu kashakuona basi inatosha usikamue nyama kulazisha kwamba ni jipu!
Slogan ya raisi wetu ya ukamuaji majipu hukuielewa mkuu badilika! Nchi haijengwi ivo.

Akumbushwe aliyofanya Bagamoyo
 
Ni ""Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo"". Mods naomba marekebisho.
 
Back
Top Bottom