sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 723
Kwa Sasa anafanya kilimo cha nyuki
dogo nilishakuonya ukiwa unaposti usiwe ukijisaidia. Sawaa!mavyeo bado yako mengi...tutampa tu
Unamanisha nini mkuu?Viongozi wanakuwa wazuri kama wanaandaliwa na kupewa kiongozi ya mara kwa mara wawapo madarakani,na kuweka mkakati wa kuhakikisha miongozo hiyo inafuatwa
Yule jamaa yupo kazini si unajua watu wenye elimu za uhakika na ujuzi huwa hawakosi kaziWakiwaga kwenye madaraka huwa wanajisahau,,wanajiona miungu watu,,,huyu kama nakumbuka alisababisha Kiongozi gani sijui wa chini yake alifukuzwa kazi Mwanza huko sababu ya majungu yake,, anaitwa Feisal nakumbuka
Pia alisoma na jamaa yangu Masters ya MBA ya ESAMIuzushi kuwa alizungusha, nimesoma nae milambo sec tabora akichukua egm miaka ya 90s sasa kama form 4 alizungusha aliwezaje kwenda milambo na akachukua egm, form 6 alipata div 2
hayo siyajuiUnamtetea. Stanislaus Mzee wa kumeza furu, anapokula huwa hatafuni. Vipi Hoja ya kulambwa na Liz. Unaikubali? Huyo bashite wa mwiruruma kibara.
Jeuri na dharau bila kujua madaraka yanapita ila yeye atabaki.Hivi Huyu Jamaa Kosa Lake Lilikuwa Ni Nini.?
Jeuri na dharau bila kujua madaraka yanapita ila yeye atabaki.Hivi Huyu Jamaa Kosa Lake Lilikuwa Ni Nini.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]dogo nilishakuonya ukiwa unaposti usiwe ukijisaidia. Sawaa!
Kama mzee......!! wapigwe tu maana tumechoka sasa.Kwa Sasa anafanya kilimo cha nyuki
Aisee everyone has a story to tell na alipopata cheo akajiona Mungu mtu maana lohHuyu bwana ni alizungusha f4 kule MUSOMA sec 1989. Hovyo kabisa. Alianza kuuza na kulambwa mkunduni maeneo ya fukwe za Dar wakati akiwa kibarua wa TTCL. Ndipo alipo kutana na Liz, K. akawa anamsafishia na kumvalisha viatu Liz kama rafiki yake, ndipo alipo mambolisha kwa baba yake na kumpa UDC BUKOMBE. Ndipo mambo yalipo anzia
anaisoma namba,mpigie cm akuambie alipoWakuu,amani iwe nanyi.Poleni na majukumu.
Ghafla tu nimejiuliza hapa, Magesa Mulongo yuko wapi jamani? Alisumbua sana Arusha na Mwanza.Alisumbua mno bodaboda wetu na mama ntilie pia. Mh Mbunge wa Arusha Mjini, alisumbua sana na bwana yule. Kuna kipindi akiwa Mwanza, Magesa alianza kutembea na ulinzi mkali mithiri ya Rais. Sasa hivi kimya kabisa.
Yu wapi Magesa Mulongo na anajishughulisha na nini?
Sijui alijua kwamba atakuja kwenye ground level.