FUNZO: Hata Magesa Mulongo alipata kuwa Mkuu wa Mkoa

FUNZO: Hata Magesa Mulongo alipata kuwa Mkuu wa Mkoa

Wakati huo huo ni vizuri kufatilia cheti cha Mwanae Mulongo asomae China mawsala ya gesi kwa skolashipu ya serikali huku ikionekana alisoma Taqwa sekondari na amepata divisheni 1 point Tano HGL.

Kwani kuna tatizo gani kusoma masuala ya mafuta na gesi kwa mtu aliyepata Div 1 HGL? Ikiwa O level alifaulu hesabu? kwenye gesi kuna kozi nyingi sana ndugu usichukulie tu kuwa anasoma mambo ya gesi wakati alisoma HGL. Hapo Geography inambeba ila kama alifeli hesabu O Level basi hiyo ni issue nyingine. Angalia vyuo mbalimbali vinafundisha haya mambo uko duniani ni sifa zipi wanazohitaji. Ila kibongo tumekaririshwa vitu
 
Labda kaamua kuwa Mkulima kama yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bwana Rajabu Rutengwe (PHD

Ningewashasuri wamfuate mfadhili wao Kikwete huko Kiwangwa wakalime wote mananasi!! Kikwete alikwenda ziarani Ghana huko akatembelea mashamba ya mananasi na aliporudi akawahidi wakwere wenzie kuwa angewajengea kiwanda cha kusindika mananasi mpaka leo hamna kitu!! Kama asemavyo mwenyewe ule ulikuwa "UPEPO TU UNAPITA". Wanasiasa wote ndio walivyo kwa uongo na unafiki.
 
Huyu bwana ni alizungusha f4 kule MUSOMA sec 1989. Hovyo kabisa. Alianza kuuza na kulambwa mkunduni maeneo ya fukwe za Dar wakati akiwa kibarua wa TTCL. Ndipo alipo kutana na Liz, K. akawa anamsafishia na kumvalisha viatu Liz kama rafiki yake, ndipo alipo mambolisha kwa baba yake na kumpa UDC BUKOMBE. Ndipo mambo yalipo anzia

Du!hizi lugha nyingine ni kali sana. Yaonyesha alikuudhi sana
 
Huyu bwana ni alizungusha f4 kule MUSOMA sec 1989. Hovyo kabisa. Alianza kuuza na kulambwa mkunduni maeneo ya fukwe za Dar wakati akiwa kibarua wa TTCL. Ndipo alipo kutana na Liz, K. akawa anamsafishia na kumvalisha viatu Liz kama rafiki yake, ndipo alipo mambolisha kwa baba yake na kumpa UDC BUKOMBE. Ndipo mambo yalipo anzia
Sijaelewa kabisa hapo "Alianza kuuza na kulambwa mkund**ni"

Aliye elewa anisaidie
 
A
Wakiwaga kwenye madaraka huwa wanajisahau,,wanajiona miungu watu,,,huyu kama nakumbuka alisababisha Kiongozi gani sijui wa chini yake alifukuzwa kazi Mwanza huko sababu ya majungu yake,, anaitwa Feisal nakumbuka
Alikuwa anatimiza wajibu wake.Kuzima koleo si mwisho wa uhunzi.Anaweza kurudi tena hata kwa nafasi nyingine.
 
Siku hizi ni dalali uchwara wa nyumba hapo Mwanza. Ana kaofisi kake kana laptop 2 na wateja ni wa kutafuta kwa torch mchana.
 
Hata bensony bana yule msomi mahili na kada wetu mtiifu simsukii siku hizi,,au amekata tamaa baada ya kukosa teuzi ya udc
 
Mulongo alitokea TTCL Regional Manager akawa DC.....wilaya kama 2 hivi then akawa RC ! Ila wengi ttcl ni wale wa kitengo! Na yeye ni wa wa kule kule
 
Mimi nimemsamehe. Alinitesa sana kimaisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Hapa ndio nwashangaa waandishi wa habari wangemtafuta kuona baada ya ukuu wa mkoa wanafanya nini?

Je wakati wa uongozi wao kuna suala lolote wanalojutia? Je ushauri wake kwa viongozi vijanani nini?
 
Magesa Mulongo ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mwanza na Mara kwa vipindi tofauti yuko wapi siku hizi?
 
Kweli kapotea. Hata kule twita hakufungua akaunti? Japo awe anatupia Maneno mazuri tuliwazane naye. Nakumbuka nilikutana naye Arusha 2012/13 pale Bar moja maarufu ya wadada wenge bodi kubwa akashangaa gari la Halmashauri kukytwa hspo SAA tano mchana. Akawa mkali tukamwambia ndio tunaingia Mjini kutoka kusini. Akathibitisha kwa kusoma kwenye gari, Akawa mpole na akatukarimu sana na kutuomba tukaripoti Ofsn kwake, tukafanya hivyo. Nilipenda ghafla
 
Back
Top Bottom