Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Jamaa alikuwa na SIFA zote mbwembwe majivuno dharau hakujali maonevu au mambo mengi fanani na hayo!
Leo yu wapi mtu huyo aliyepata kujiona ni mungu mtu katikati ya binadamu wenziye. Leo yu wapi kiranja huyo aliyetisha kuliko! Leo yu wapi mfanya mbwembwe huyo aliyejifanya ni rais mdogo na aliyethubutu hata kujiwekea ulinzi fanani na wa mafia Fulani?! Leo yu wapi mtu huyo aliyetishia watu kwa kuwasweka lock-up kwa mamlaka alopata kuwa nayo?!
Hakika pitia mtu huyo hapa lipo funzo. Funzo hasa kwa hawa wakuu wa mikoa wanaotaka hata kuzizidi mbwembwe za kiranja na mfanya mbwembwe yule!
Tambueni cheo au madaraka ni dhamana.Hayupo na haitatokea eti kwa dunia ya leo utawala utadumu milele.
Hebu sote tujiulize, wakati huu bwana MAGESA yupo ktk hali ipi hasa akumbukapo isha lake wakati akiwa kiongozi?!AIBU!
We mwenyezi MUNGU tusamehe sana!