FUNZO: Hata Magesa Mulongo alipata kuwa Mkuu wa Mkoa

Jamaa alikuwa na SIFA zote mbwembwe majivuno dharau hakujali maonevu au mambo mengi fanani na hayo!

Leo yu wapi mtu huyo aliyepata kujiona ni mungu mtu katikati ya binadamu wenziye. Leo yu wapi kiranja huyo aliyetisha kuliko! Leo yu wapi mfanya mbwembwe huyo aliyejifanya ni rais mdogo na aliyethubutu hata kujiwekea ulinzi fanani na wa mafia Fulani?! Leo yu wapi mtu huyo aliyetishia watu kwa kuwasweka lock-up kwa mamlaka alopata kuwa nayo?!

Hakika pitia mtu huyo hapa lipo funzo. Funzo hasa kwa hawa wakuu wa mikoa wanaotaka hata kuzizidi mbwembwe za kiranja na mfanya mbwembwe yule!

Tambueni cheo au madaraka ni dhamana.Hayupo na haitatokea eti kwa dunia ya leo utawala utadumu milele.

Hebu sote tujiulize, wakati huu bwana MAGESA yupo ktk hali ipi hasa akumbukapo isha lake wakati akiwa kiongozi?!AIBU!

We mwenyezi MUNGU tusamehe sana!
Juzi nimeona meseji toka kwa MAGESA MLONGO akimuandikia rafiki yangu mmoja kijana aliyeko kwenye Idara nyeti ya Serikali akimuomba elfu 50, tena katika meseji hiyo kaanza na maneno " kaka vipi, za siku tele bona umenitupa mno" nikumbuke kaka, MWISHO WA KUNUKUUU. Nashauri viongozi muwe na akiba ya maneno na matendo.
 
Mulongo Amechoka Wakuu Mpk Anatia Huruma. Haonekani Kwa Kuwa Anajificha Na Kuficha Uso Wake Machoni Pa Watu Aliyo Wadharau.
 
Somo zuri kwa Kondakta..

Lakini haonyeshi kubadilika zaidi ni kuendelea kufanya mambo ya ajabu na kijinga kama vile atakuwa Kiongozi wa Milele.

Kila nikikumbuka aliposema NILIPOSIMAMA MIMI AMESIMAMA MUNGU napata shida kumuelezea kichwa ngumu huyu.
Msihukumu sana, kila kiongozi ana awamu yake ya kutawala au mwema (kama mnavyodhani) au mbaya ( kama mnavyofikiria).

Patrick Balisidya alishawahi imba
"Ni mashaka yangalipo, wema hawana maisha" sijui kama nimepatia, aliwataja viongozi wengi wa kiafrika walioyouwawa enzi za mapambano ya uhuru wa Afrika.

1. Patrice Lumumba
2. Edwardo Mohdlane
etc

"Wema hawana maisha"
 
Jamaa alikuwa na SIFA zote mbwembwe majivuno dharau hakujali maonevu au mambo mengi fanani na hayo!

Leo yu wapi mtu huyo aliyepata kujiona ni mungu mtu katikati ya binadamu wenziye. Leo yu wapi kiranja huyo aliyetisha kuliko! Leo yu wapi mfanya mbwembwe huyo aliyejifanya ni rais mdogo na aliyethubutu hata kujiwekea ulinzi fanani na wa mafia Fulani?! Leo yu wapi mtu huyo aliyetishia watu kwa kuwasweka lock-up kwa mamlaka alopata kuwa nayo?!

Hakika pitia mtu huyo hapa lipo funzo. Funzo hasa kwa hawa wakuu wa mikoa wanaotaka hata kuzizidi mbwembwe za kiranja na mfanya mbwembwe yule!

Tambueni cheo au madaraka ni dhamana.Hayupo na haitatokea eti kwa dunia ya leo utawala utadumu milele.

Hebu sote tujiulize, wakati huu bwana MAGESA yupo ktk hali ipi hasa akumbukapo isha lake wakati akiwa kiongozi?!AIBU!

We mwenyezi MUNGU tusamehe sana!
Ukubwa jalala. Inabidi afanye ayafanyayo sasa kwa kuwa amekubali kuwa RC Dsm. Hivyo vitisho vyako havina nafasi. Unataka akae tu akisuburi kumaliza muda wake bila kuwajibika? Wake up
 
Viongozi wetu wa dini hawakukemea kauli hiyo...????
 
Huyu inawezekana kuna siku alimtunishia misuli Mkuu wakati mkuu ni waziri,sasa anaisoma #. Akavue samaki tu ziwa Victoria,hakuna namna
 
Ukubwa jalala. Inabidi afanye ayafanyayo sasa kwa kuwa amekubali kuwa RC Dsm. Hivyo vitisho vyako havina nafasi. Unataka akae tu akisuburi kumaliza muda wake bila kuwajibika? Wake up
Unaweza ukaonyesha pahali pepi miye nimetishia mtu?Pia,pahali pepi miye nimemtaja RC wa DSM?!
 
Msihukumu sana, kila kiongozi ana awamu yake ya kutawala au mwema (kama mnavyodhani) au mbaya ( kama mnavyofikiria).

Patrick Balisidya alishawahi imba
"Ni mashaka yangalipo, wema hawana maisha" sijui kama nimepatia, aliwataja viongozi wengi wa kiafrika walioyouwawa enzi za mapambano ya uhuru wa Afrika.

1. Patrice Lumumba
2. Edwardo Mohdlane
etc

"Wema hawana maisha"
Kuhusu maisha ya mtu,hayo yako umenena.
 
Kuna mtu anaitwa VALENTINE STRASSER.....hakika nakuunga mkono mtoa mada.
 
Nimemkumbuka konda wangu Simbachawene, ambaye tofauti na hawa wengine jamaa ni mtaratibu na msikivu haswa.
 
Bwana we, bwana wee, umemtaja Magesa Mulongo?? Asije mkulu akamkumbuka na kumpa cheo ukatuletea balaa. Mulongo? Duniani Kuna Watu!
 
Back
Top Bottom