Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

yani mtu anakupeleka had polisi unan'gan'gania nae tu,itakuwa ulilishwa limbwata.Yani ukinipeleka polisi tu jua hyo ndio sku ya mwisho mm na ww kukaa pamoja.
Ndio nimekwambia ni mtu wa kwanza kunifikisha polisi,
Hakuna cha limbwata wala nini.
Mi mwenyewe nilikua mafia haswa ananijua.
Ndo mana alikua anakimbilia polisi.
Kuna siku nikaamua nimalizane nae.
Nimetoka porini na kisu cha kuchuna ngozi cha umeme nimepita kwa macheni ntapiga mzinga vibaka si wakanipiga sachi wakakiiba😅😅😅.
Yaani nawashukuru sana wale vibaka.
Bila wao ningekua niko nondo sa hii au nshanyongwa😕😣
Heheheheh kibabe sana
Aah mtoto mwenyewe bishoo tu tungeondoka nae,masela wana haha huyo unachelewesha boss tupe kazi.ndo pale kumuonyesha njemba nne pale nje kaanza kulialia ndo nikampa hilo sharti akileta ubwege nnae aah akafuata masharti tu.
 
Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa
Una wivu kwa kuwa walikuumiza!?? Maana si kwa povu hilo!!! Je !?? Wote wanaouana kwa wivu wa mapenzi ni wachaga!?? Yule mmakonde aliye mchoma mkewe kwa gunia mbili za mkaa ni mchaga!?? Kama mchaga kakutosa usigeneralize tazama mapungufu yako!!
 
yaani huyu kijana simmalizi. Kapanga geto hapo makumbusho. Nilishangaa kukutana naye. Tumesoma wote chuo kimoja. Eti alisikiaga nna hela sana akaanza niombisha nyimbo na anajua mshkaji wake alikua bf wangu. Nikaenda mtukana huyo ex wangu na huyu jamaa wake. Maana namba ametoa kwa ex wangu. Basi mtaji wake ndo hilo dudu lake labda itakua na ulimi. Yaan anawachunaaa Mungu wangu. Kama hajatumiea jini la ajali siku sijui. Na ningelioenda maybe lingenichuna sana maybe ni vile ninachagua sana. Yaan we falaaaaa moto wako unakujaaa
Mkuu inaonekana unamjua kiundani kabisa isije kua kishapita nawe hapa umegeuza story
 
Adhabu za aina hii sio kabisa ni heri angempa mwanaume nafasi ya kujitetea,Mapenzi au mahusiano hayalazimishwi Kama mtu akupendi we achana nae kwani wengine hawapo? Ukijikubari,ukijithamini na kijipenda mwenyewe mahusiano hayawezi kukupa shida.Kwani wanaume wameisha mbona wapo wengi tu.Wanaume wenzangu hebu tuache kucheza na hisia za wanawake,Mwanamke akipenda huwa anapenda kweli yaani vyote pamoja na moyo wake Sasa inapotokea unamsaliti huwa anatengeneza kisasi kikubwa.Wanawake unapogundua mpenzi wako anakusaliti usijichukulie sheria mkononi nenda kamshitaki hata ustawi wa jamiii.
 
Una wivu kwa kuwa walikuumiza!?? Maana si kwa povu hilo!!! Je !?? Wote wanaouana kwa wivu wa mapenzi ni wachaga!?? Yule mmakonde aliye mchoma mkewe kwa gunia mbili za mkaa ni mchaga!?? Kama mchaga kakutosa usigeneralize tazama mapungufu yako!!
wachaga wanatakiwa kupewa chanjo ya covid ndio watatulia.
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.

Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.

Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.

Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.

Poleni sana wafiwa.

PIA SOMA
Mabinti wakichagga hawasafishiki kama ilivyo awamu iliyopita.
 
Mkuu inaonekana unamjua kiundani kabisa isije kua kishapita nawe hapa umegeuza story
Hapana. Siwezi. Haya maisha nimejamkuta nayo mwaka juzi. Hakua nayo chuo. Ndo classmate wangu akawa ananielezea tabia za jamaa. Sikutegemea maisha niliyomeona nayo. And i dont date shouting boys. I date ordinary men. Ikanisaidia kuconnect dots kwamba lengo lake enzi hizo alikua akitaka nini kwangu. Nikikukataa leo hata kesho nakukataa. Nikikupenda leo hata kesho nitakupenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom