Rwaz
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,020
- 3,443
una mchumba wa machame! mpalestina!!!!!!!!!!! aisee!Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.
Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.