Chacha95
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 212
- 172
Yah atakama nibualim angalia na chuo uckute uliomba UD akat una DDE na div 2 ya12 apo lazma uambulie patupu mm najijua kabisa tang kitambo akil zangu na UD ni + na - ko ata cku i include kwenye selevtion zangu we omba vyuo vyakuelwe ka kulingana na ufaulu wako co ukomae na Mzumbe cjui Sua akat nawe n div 2. Ya DDE kama mm kaka TCU hawawez kukuacha iv lazma kuna sehem uli ji kwaaaaaBachelor's of art with education mkuu