Fununu za TCU

Fununu za TCU

Ata mm pia yakitoka ntatangaza apa atae penda ntamchekia nipo full na satellite znanimulika apa geto internet speed 1000000xGB per sec

Namba izapa 0765 096851 Bureee rafkizang aya maisha kusaidiana
Mkuu ntakucheki uniangalizie boss
 
Process ya matokeo ipo hatua za mwisho mwisho mtatangaziwa make it soon after aproval
.............From TCU whatsaap group(admin).............
Kwa iyo upo uwezekano wa kutangaza Leo kweli mkuu....??
 
Sioni sababu ya kuwa na kimuhemuhe, as long as mtu ulifaulu chuo utapata tu hata kama watatoa mwezi ujao!!
 
yakitoka tu msiwe na hofu.mnachotakiwa kufanya nikuja tu pm au hapa hapa niwaangalizie wote.Mtakao kuja Chimwaga karibuni sana.
 
Sina uhakika sababu hadi mda huu hajatoa jibu la swali hilo alipoulizwa na wanagroup
 
rohaha hatar san ko ukik1 und 2 osa round mwana kumwaga chimwagaa duh wakinmwaga uko stui itakuaje aseee
Niwe mkweli tu hii reply yako niliielewa mpaka hapom kwenye red ila kuanzia kwenye blue hamna nilichoambulia mkuu.
 
pombe tcu wananfanya ninywe pombe ata celew nn naandika aseee sorry for typing vxhdgdhshhskssojssksjdvhd hahaha duh hatar sana hata celew nn naandika asee du hali n tata
 
Ulijazaje machaguo yako matano mkuu?
M coz nlo jaza inaitaj wa2 mia 2 af tulo weka first priority ni 70 najana nlijiona bro nmechaguliwa sema naona tena mitaarifa uk wasap.mara cjui tarfa za jana niuongo ani wanamvuruga akil ujue nataman ata nije Chimwaga
 
M coz nlo jaza inaitaj wa2 mia 2 af tulo weka first priority ni 70 najana nlijiona bro nmechaguliwa sema naona tena mitaarifa uk wasap.mara cjui tarfa za jana niuongo ani wanamvuruga akil ujue nataman ata nije Chimwaga
kozi gani na chuo gani ulichaguliwa?
 
Back
Top Bottom