Chacha95
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 212
- 172
Poa poa kakaThanks broo
Poa poa kakaThanks broo
Duuuuh yan unatia matumaini kwa mbaaaaaaaaliNOT FOUND ISIKUTIE SHAKA
ITAKUA WEWE ULIFUNGUA SYSTEM WAMEIFUNGA
KOZI MIMI NILICHEK NKAKUTA NMECHAGULIWA BAADA MUDA NKASEMA HEBU NICHEKI TENA FURAHA YANGU NDIO IKANILETEA UJUMBE WA NOT FOUND
SO MSIHOFU NDUGU ZANGU WANAWEKA MAMBO SAWA.
PUNGUZENI TU PRESHA WOTE TUNAENDA CHUO
nmechek tena niko selectedDuuuuh yan unatia matumaini kwa mbaaaaaaaali
Ahsante mkuu, kasimu kangu hakana uwezo wa kufungua PDF lakini hapa nimeisoma vyema....... Tusubiri tuone tuone.Kuna tangazo wameliweka kwenye site yao tcu.go.tz ila kama simu yako haina uwezo wa kufungua pdf files licheki kupitia link hii kupata mwongozo kidogo TCU: Call for Second Round FOR ALL FORM SIX Applicants who could not be selected in the first round of applications - Kijiwe Cha Wasomi
Two ya 10 kitu gani weweBora niende kwenye mitandao wanipe meza nianze kusajil lain. Maana hii elim ya kamar siiwez yan two ya kum alaf ata udom ukose.
Imenishinda sasaView attachment 399260
Kwa mwandiko huu ni bora tu usichaguliweMi nliomba B.A of Tax hii ilikuwa ina taka watu 200 na first choic tuliweka wat 70 tu
Second nkaweka B.A ya Insurance and Risk Management i ilikua inataka watu 250 na waloweka first walikuwa kama 83 zote iz zilikua IFM na hazikuwa zina requirement ya BaM coz bam mm ni ****** wa kwanza Tanzania nzimaaa an ata 1+1=?? Cjui
Third nlipachika pachika tu coz nlijua hawawez nluka izo mbil za kwanza na mm srm yangu co kusoma Economics walann drm yangu ni kusoma Computer science ambapo mm na experienc sana na PC issues na CM ni fundi mmoja amaizing ata ukifatilia hum jamii na post zang kibao na nsha soma online coursez nying za Computer language kama C,assembly na java nk. But nliona nikiomba vmpter science ma ka E kangu ka bam wata nchinja nkaona niwwke tu izo vitu bob nkimaliza chuo io ajira hata nsipo pata haona tabu ntafanya mambo zangu zingine kabsaa mana ata cpend kusoma economics but hali imenibana sa n fanyaje nge lazmisha ku apply cmpter ngekuwa na lia kama ww bob w omba mi nacho target npaye cheti tu na kizika ndan naendelea na issue zang coz amsill young 20YRS bado sanaaaaaa bob
Usipoaapply unamkomoa nani wacha wenye one zao wakapige shuleYan iyo elfu 50 walionipiga nmewapa bure, siapply tena ata waeke ten round.
Huu ni ..............