Fununu za TCU

Fununu za TCU

Mwenye TAARIFA zozote za TCU mpaka sasa tu naomba atujuze ...! maana naona hawa wakuu wamepiga kimya na siku waliyoahidi ndo hii inaenda kuisha

Mwenye lolote Tafadhali
[emoji288] [emoji289] [emoji290]
watatngaza wanatafuta wanafunzi hewa kwanza
 
We braza tulia 2 MAMBO YATAJIPA YENYEW VERY SOON [emoji23] [emoji23] [emoji23] NDEGE WAKO MANAT YA NN. Muda ukiwadia Kilakitu kita JiPa
 
safi sana kaka,unaonyesha una degree yakujiliwaza mkuu,style za watoto wa kuku kila cku mtanyonya kesho
 
Leo tena ni mwendo wa kukesha[emoji1] [emoji1]
 
safi sana kaka,unaonyesha una degree yakujiliwaza mkuu,style za watoto wa kuku kila cku mtanyonya kesho
Yaaahh ncipp jiliwaz mwwnyew nan atanliwaza ase rahajppe mwenyew wanawake nao ckuiz ndo ctak ata habar zao kabsaa ani wanatia stress TCU haion ndan bora stress za TCU co zamapenz[emoji23] [emoji23]
 
hahahahahaha,ucjal kk utafika muda wako
Yaaahh ncipp jiliwaz mwwnyew nan atanliwaza ase rahajppe mwenyew wanawake nao ckuiz ndo ctak ata habar zao kabsaa ani wanatia stress TCU haion ndan bora stress za TCU co zamapenz[emoji23] [emoji23]
 
wazee wa kugegeda na kisu kiunoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatar sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] et mu gegeda na kisu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kiunon
 
hahahahaha huko nasikia hata mbibi akienda kupiga misele lazima anakisu kwenye kitenge kakivaa kiunoni
 
Ani uko bana Story zake co za ku discuss Public kama hapa m kwanza c endag uko coz watu hawachek ata na ndugu zao asee ni mipanga 2 kudadek [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] co kitoto co mkubwa n vurugu 2pu
 
wazee wa bhita nibhita muraaaa
 
Naona tcu wanataka kunipa kazi ya ulinzi tena kama jana coz no usingizi kabisaa,,,
Hahaha wanatukomoa wale ambo atukwenda jeshi cjui ata mm nlitoboa mpaka ngoma 9 iv nkapitiwa ki mbonji nkajikuta nje ya net sa5 asubui[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom