Fununu za TCU

Fununu za TCU

Leo tena ni mwendo wa kukesha
1473712905295.jpg
 
Aisee mm nmeshindwa kukesha kausingizi kananipitia bora nilale zangu
 
JAMANI WASHAFUNGUA ADMISSION TAYAR ANGALOA KWENUE PROFILE LAKO UTAONA KAM UMECHAGULIWA UTAONA UMEAMDIKIWA KABOSAAAAA THE SEVER IS OUT NOW GUYZ CHEK IT USOEWEZA NAMBIE NKUSAIDE

0765 096851
 
Mwenye TAARIFA zozote za TCU mpaka sasa tu naomba atujuze ...! maana naona hawa wakuu wamepiga kimya na siku waliyoahidi ndo hii inaenda kuisha

Mwenye lolote Tafadhali
1473741481415.jpg




Tayar jamani angalieni wamesha Achia mzigo brothers ingia kwenye profile lako angalia kama uja chaguliwa utaonaa
 
Bora niende kwenye mitandao wanipe meza nianze kusajil lain. Maana hii elim ya kamar siiwez yan two ya kum alaf ata udom ukose.
Imenishinda sasa
1473753926693.png
 
Bora niende kwenye mitandao wanipe meza nianze kusajil lain. Maana hii elim ya kamar siiwez yan two ya kum alaf ata udom ukose.
Imenishinda sasaView attachment 399260
Skiza kaka

Omba tena Golden chanc neva comes Twice uli aplY bila kuangalia kama kuna ushindani kwenye cozz ulo ziomba

TIME Z NOT UR FRIEND

Utaukumbuka huu mda ulo nao


[HASHTAG]#The[/HASHTAG] Biggest mistake u can make in This Life is To Give Up#
 
Skiza kaka

Omba tena Golden chanc neva comes Twice uli aplY bila kuangalia kama kuna ushindani kwenye cozz ulo ziomba

TIME Z NOT UR FRIEND

Utaukumbuka huu mda ulo nao


[HASHTAG]#The[/HASHTAG] Biggest mistake u can make in This Life is To Give Up#
Nmekuelewa mkuu
Ila kinachonishangaza zaid niliomba course za ualim , yan imeniuma kwel
 
Uliomba kozi zipi wewe broo
Mi nliomba B.A of Tax hii ilikuwa ina taka watu 200 na first choic tuliweka wat 70 tu

Second nkaweka B.A ya Insurance and Risk Management i ilikua inataka watu 250 na waloweka first walikuwa kama 83 zote iz zilikua IFM na hazikuwa zina requirement ya BaM coz bam mm ni kilaza wa kwanza Tanzania nzimaaa an ata 1+1=?? Cjui

Third nlipachika pachika tu coz nlijua hawawez nluka izo mbil za kwanza na mm srm yangu co kusoma Economics walann drm yangu ni kusoma Computer science ambapo mm na experienc sana na PC issues na CM ni fundi mmoja amaizing ata ukifatilia hum jamii na post zang kibao na nsha soma online coursez nying za Computer language kama C,assembly na java nk. But nliona nikiomba vmpter science ma ka E kangu ka bam wata nchinja nkaona niwwke tu izo vitu bob nkimaliza chuo io ajira hata nsipo pata haona tabu ntafanya mambo zangu zingine kabsaa mana ata cpend kusoma economics but hali imenibana sa n fanyaje nge lazmisha ku apply cmpter ngekuwa na lia kama ww bob w omba mi nacho target npaye cheti tu na kizika ndan naendelea na issue zang coz amsill young 20YRS bado sanaaaaaa bob
 
Back
Top Bottom