Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

poa tu lakini habari ndio hiyo.Chadema ni chama cha wachaga kwa jinsi kinavyoendeshwa.Mwaka 2005 karibu 100% ya wabunge viti maalum walikuwa wachaga,baada ya kelele ndio 2010 wakachomekachomeka vyasaka,hili liko wazi ndugu usibishe.takwimu zako ziko sawa lakini kwa hili kubisha ni unafiki.zitto licha ya kukipa umaarufu chama anaonekana kama kinyesi tu huku makanjanja akina lema wanaoneka mashujaa,aibu kwel

Huwezi kufikiri njee ya hii triangle CCM kushika hatamu vyama vingine ni adui lazima vife, Watu wa kaskazini especially wachagga ni shida tatu Ukiristo... kwisha habari yakooo. umeishia kulazimisha hoja za nguvuu badala ya nguvu ya hojaa.. Ukiangalia kwa jicho lilovalishwa miwani yenye lens triangle hiyo lazima Uone celebrity Zitto anaonewa...
 
Lema na Mbowe ni mtu na binamu yake kwa hio ni sahihi kubisa kurithishana maana chama ni cha ukoo.
 
Hivi kati ya mimi na wewe nani ni muongo?

Mimi nasema majina yale ni ya FAULU kujiunga kidato cha sita,

Wewe unakuja na ngano kuwa kwamfumo wenu nyinyi ccm kidato tano hawafaulu kwenda kidato cha sita,

Mbaya zaidi unaleta UONGO mwingine usio na mashiko, Chadema inachombo cha habari?

Hebu nitajie chombo cha habari cha chadema iwe radio, gazeti, tv, nk na uniamie usajili wa umiliki huo ulikuwa lini na leta Namba za malipo ya kodi (TIN Nos)

Ukizoea uongo huoni tabu kusema lolote,

Tatizo huna kazi mjini hapa unategemea ccm ili uishi ndiomana akili ishaganda kiccm ccm tu

Tanzania Daima
 
Lema na Mbowe ni mtu na binamu yake kwa hio ni sahihi kubisa kurithishana maana chama ni cha ukoo.

Amaan Karume ni mtoto wa Abeid Karume, Husein Mwinyi ni mtoto wa Ali hassan mwinyi, Riziwan Kikwete ni mtoto wa Rais Kikwete, Nape Nnauye ni mtoto wa Moses Nnauye, Sioi Sumari ni mtoto wa Jeremia Summari, Januari Makamba ni mtoto wa Yusuph Makamba, Waziri Malima ni mtoto wa Kigoma Malima... hii ni list ndefu ya viongozi wa CCM ambao wamepata uoongozi kupitia migongo ya wazazi wao wapo waliopitia ushemeji, udini na ukabilaa... kwa tafsiri ya watu wenye uelewa mwepesiii!!! Je CCM ni chama cha kinduguu kikabila na kidiniii?!!! Jibu ni hapana sasa kwanini wewe kama kiongozi unakuwa mnafiki na unaona boriti kwenye jicho la mwenzio kwa kutumia miwani ya ukabila na udini?!!! Jibu ni kwa we ni mweupe unakimbilia kutoa majibu mepesi ambayo yanakufanya uonyeshe utupu wakooo kichwani na jinsi ulivyo manafiki.. Jifunze kujenga hojaa bado kijana mdogo sanaa na somaaaaaaaa... Unakimbia kwenye cheap polotics kwasababu ni mweupee kama plain paper....
 
Harmy-D hivi kwanini ccm yetu ilitaka kumuua shehe Ponda au ndio kusema, chama chetu hakipendi uislamu!!??
 
Last edited by a moderator:
Tanzania Daima

Ni Freemedia Sio gazeti la Chadema kama mnavopotosha watu! Acheni huo uongo wenu na mmezoe kutaka kufungia magazeti lakini kwa hill Tanzania Daima mmechemka
 
Ni Freemedia Sio gazeti la Chadema kama mnavopotosha watu! Acheni huo uongo wenu na mmezoe kutaka kufungia magazeti lakini kwa hill Tanzania Daima mmechemka
Nadhani umesahau kuwa Chadema,Tanzania daima kuwa ni kampuni tanzu za Mbowe,Mtei Family
 
Akili ugoro tupu,we ukisikia nyerere unajua ni jk t.ko we
You're not and you'll never be serious.

Kwako kumlaumu mama yako kwa kutokufanya mapenzi na Mwl Nyerere ili uzaliwe mtoto wa Mwl. Nyerere wa ukweli unaita mashairi.

Kwako kufuatilia kila kinachofanywa na familia ya Mwl. Nyerere ili uwe updated katika uwongo wako kama wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere unaita ni mashairi.

Kwako kulichafua jina la Mwl. Nyerere katika taswira ya jamii kuwa alizini na mama yako na ukazaliwa unaita ni kipemba.

Ninatumaini umewatapeli watu wengi sana huko mitaani kwa kutumia influence ya Mwl. Nyerere kama baba yako mzazi wakati ukweli Mwl. Nyerere ni baba yako wa kufikirika katika ndoto za punguani na alinacha.
 
Vipi kijana wa hayati mwl Nyerere upo?

Nadhani kwa jinsi CHADEMA wanavyo recruit viongozi wao hata wewe unaonyesha una sifa za kuwa kiongozi ndani ya CHADEMA.

Kuna hii ishu ya kusimamia uongo mpaka uonekane ukweli; nadhani kwa jinsi ulipotosha watu humu kuwa wewe ni kijana wa hayati mwl Nyerere na baadhi wakaamini, basi wewe ni tunu ndani ya CHADEMA.

Yaani wewe haujawahi kutoa hoja yeyote ya maana...kila siku ushabiki wa vyama, lini utatoa pointi ndugu yangu?
CHADEMA inakukera nini? Mbona hadi usingizini unaiota? Li ccm lenu linajifia nyie mmenga'ang'ana na CHADEMA....SHAME ON YOU ALL....!!!!
 
Juzi uliota kuhusu Zitto , leo una G. Lema!! Ama kweli CDM imetoa somo kwa CCM. Hivina ww huaga familia yako kuwa unaenda kazini?
 
Nadhani umesahau kuwa Chadema,Tanzania daima kuwa ni kampuni tanzu za Mbowe,Mtei Family

Huo ni Uzushi wenu usiokua Na ukweli! Gazeti na chama ni tofauti! Msifikiri Chadema ni Kama cha chenu cha baba, mke, mtoto,mjomba shemeji, Binamu na swahiba!
 
HAMM-D aka Mwigulu sasa unaelekea kubaya,Mbona CCM mnawafukuza madiwani na kuwarudisha?mnaogopa kipigo cha 8-0?Damu za watanzania uliyoimwaga Arusha bado inakulilia na itakutafuna ww na kizazi chako chote,Nape amekuwa msemaji wa jeshi la polisi na wewe unataka kuwa msemaji wa chadema?Kweli CDM inawapeleka puta na BADO!

kumbe jamaa ni mwigulu.umenifungua
 
Hakuna cha kuangaika na CHADEMA, mimi kama mpenda amani sina budi kufatilia chaguzi za ndani za CHADEMA kwa lengo la kujua ni nani atakae kuwa mwenyekiti, huyu wa sasa zaidi ya kusababisha mauaji na uvunjifu wa amani kwa kiasi kikubwa hapa nchi, hakuna la maana alilofanya. Je, mkimpa Lema itakuwaje?

Hamy D: Sasa hivi hoja za hivi hatuna muda nazo, tupo kwenye rasimu ya Katiba. Toa maoni tupate katiba nzuri acha hoja hizi za kitoto.
 
Hivi HAMY D,Huko CCM hakuna hbr mpya na nzuri zitakazo wainua kisiasa bila kutaja CDM.Naona umekuwa Mwenezi,kamati kuu na mwanachama wa CDM na kazi yako ni kutuchagulia viongozi wetu,kutuhabarisha na kuitisha vikao vya maamuzi eti.Acha Umbea na Unafiki tangaza Chama chako cha Magamba.
 
Nauliza chama chako kimebariki biashara ya madawa yakulevya?

Maana sasa hivi kuanzia mjumbe wa nyumba kumi mpaka mwenyekiti wenu taifa wote mateja,

Ile orodha mliyoiita ya wauza poda mlikuwa na lengo la kuwahadaa waislamu? Mnaacha kuwataja akina ze prinsi makuvugila kisha mnaleta majina ya waliofaulu kuingia kidato cha sita kisha mnasema ndio wauza madawa ya kulevya?


Hahaa kesha sana hapa kutetea tumbo lako!

Kama aibu ni ya uuzaji unga (madawa ya kulevya) si pia kuna wakati watu walikuwa wanasema mbowe alihusishwa na kazi hizo, na pale kwake bilicanes mbona ndiyo stesheni kubwa ya hayo madawa. au hilo ni halali cdm
 
Hizi ndizo propaganda sizizo na mashiko.Nawashauri Magamba walio humu waende na wakati siasa ya siku hizi ni fact.Sasa huyu amejisaau anarudi nyuma kufuatilia masomo yao ya propaganda waliosomea miaka ile ya nyuma kule ulaya mashariki.Pole sana.Magamba wanazidi kupoteza pesa kuwanunulia watu kama hawa laptop na air time eti waweke propaganda kwenye mitandao ya jamii.alafu vitu wanavyoandika kwa kweli akilini haviingii kabisa.
 
Hiyo haina pingamizi kwani "hapana peleka mali mbali"
 
Km vile jamaa anakiri Lema ni jembe bila jijua..sasa anona kuwa anastahili kugombea kwa fikra zake.Maccm wakibanwa hufanya vitu kinyume nyume..sasa hamuoni tena yale matusi mliyokuwa mnamtupia na kebehi zenu...?


Vipi mtu wenu kanyoosha mikono , huku akiwa na theory za CCM kuwa ukabila utaa apply..kwani lema ni mchaga pekee?au mtu wenu kanyoohsa mikono kwa Lema na anaona pengine anaweza pewa ?


Haha.....fikra za CCM hata mwendawazimu ana hafadhali ktk kutunza consistencies.Huyu anatakuwa mmojawapo ya watu walipigishwa kwata na Lema ktk grounds...wanadhani kwa kuchukua hii njia pengine kutamsaidia wageuza wana CDM ..kwani njia ya kujinganya ya mwanzo imebuma..sasaanamahatisha hii..sijui akisikia wana CDM wameipenda kwei atajisikiaje?Atajilaumu kwanini hakusuggest boya...?
 
Nasikia Lema nae alipata division zero form four.
Du! sasa hicho chamakitaendeshwa na mazezeta mpaka lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom