Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Hakuna cha kuangaika na CHADEMA, mimi kama mpenda amani sina budi kufatilia chaguzi za ndani za CHADEMA kwa lengo la kujua ni nani atakae kuwa mwenyekiti, huyu wa sasa zaidi ya kusababisha mauaji na uvunjifu wa amani kwa kiasi kikubwa hapa nchi, hakuna la maana alilofanya. Je, mkimpa Lema itakuwaje?

Uwe na aibu kuandika vitu usivyokuwa na uhakika navyo!
 
daa ya ni zaidi ya matusi. hivi kwa akili gani aliyonayo lema? nadhani unataka watu wang'olewe meno.
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilevile ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Unawashwa? Hivi ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Tukubaliane basi na upuuzi wako; mbona hutuambii hata angalau kwa fununu nani mwenyekiti wa Taifa wa CCM baada ya JK? Kama ni Mwigulu Nchemba naunga mkono.
 
Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Una mdomo ka mke wa balozi!
 
Mtoa mada na Msalani kimtazamo hawatofautiani sana wote ni vibaraka wa CCM tu hakuna mwenye akili hapo, wote ndio wale wa miaka mingi shule akili kiduchu kichwani!
 
Huyu jamaa akiwa mwenyekiti chama chote watakuwa wavuta bangi.
 
Masikini MH Tundu Lissu ungekuwa mzaliwa wa kaskazini wangekufikiria hata ukatibu mkuu.

Body without head
 
Nimegundua hata wanachadema wenyewe wanajua kuwa LEMA ni kichaa, kuna bwana mmoja ambaye ni mwanachama wa CHADEMA aliwahi kuniambia, Arusha ilkuwa inahitaji Mbunge "Kichaa" kama Lema, Nami nikamwabia hata CHADEMA inahitaji mwenyekiti "Kichaa " kama LEMA.
 
Endelea kuishi kwa fununu mpaka utaja stuka mmekuwa chama cha upinzani tena kisicho na wabunge kabisa!

Vipi madiwani 8 mliowatimua imekuwaje bosi wenu Nape awarejeshe kazini?

Vipi chama chako kimeshindwa kuwafukuza mafisadi na sasa kimebariki biashara ya madawa yakulevya kwa wanachama wenu kisa hamna pesa ya kuhonga wapiga kura 2015?
sad.gif
Hakuna Mto Luaha kuna Mto Ruaha,ujanja mwingi shule Ndogo,kipindi kimoja tu umepewa kuganga njaa,unasupport kila kitu anachofanya Mbowe upate huruma yake umeliwa

Jembe ZZK Rais wa Chadema aliyekataa posho jukwaani na Bungeni,nyinyi wanafiki wakubwa na Mbowe wenu mmekataa posho jukwaani lakini Bungeni mnachukua hukumu ya unafiki wenu iko 2015 mtatujua mnazani sisi wa kudanganywa kitoto,waone waoga tu mmeamua kuchukua posho kwa hofu ya kuangukia pua 2015 mnachukua chenu mapema

Hongera kwa kusoma nyakati miligomea posho na bado mnachukua mkono wa nyuma uadilifu wenu kwa wananchi uko wapi,mlitolee tamko wazee wa matamko nyinyi
 
Kunya ukalale hujui chadema ilikotoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom