Ndugu zanguni,
Baada ya kuona chama changu cha zamani chadema kinayumba kama mtumbwi kwenye dhoruba kali huku manahodha wake wakiwa wamaechanganyikiwa hawajui la kufanya , nimeona ni vyema nitoe ushauri kwa makamanda ili kunusuru haka kamtumbwi kao.
Mtu pekee anayeweza kukiongoza chama kikamanda na kisawasawa ni KAMANDA LEMA
Lema ni kamanda mtiifu sana na mwenye cv nzuri ndani ya Chadema
Nawaomba makamanda mumuunge mkono Lema ili aweze kuwavusha hapa mlipo
Ni wakati wa kujiunga na TEAM LEMA ...
JITAMBUE!