Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

asante , endelea kuandika kila unachokifikiria bila hata kuchuja , malengo yako yanafahamika , ila bila shaka mkono wa BAN ndefu unakunyemelea kwa kasi ya ajabu !
 
mwenyekiti wa ccm ajaye lazima atoke kwenye genge la wauza sembe

Ndo itakavyokuwa.. Namwona kijana mdogo ambae ni katibu wa vijana wa jiji nae la... anauza!!daah! Tumekwisha
 
HAMM-D aka Mwigulu sasa unaelekea kubaya,Mbona CCM mnawafukuza madiwani na kuwarudisha?mnaogopa kipigo cha 8-0?Damu za watanzania uliyoimwaga Arusha bado inakulilia na itakutafuna ww na kizazi chako chote,Nape amekuwa msemaji wa jeshi la polisi na wewe unataka kuwa msemaji wa chadema?Kweli CDM inawapeleka puta na BADO!
 
Pole sana ndugu yangu! Umeonesha ni kwa kiasi gani ulivyo mvivu wa kufikiri. Wapumbavu tu ndiyo wanaoongelea Ukabila na Udini katika karne hii. Nakushauri utumie elimu ya kuzaliwa. Achana na Elimu za kukaririshwa bila kuelewa. Huenda umetumwa kuwasemea Wahuni. -------- hutumiwa na Mjinga. Ni rahisi sana Wahuni kuwatumia wapumbavu na wajinga kufanikisha malengo yao. Jipange Upya. Acha Propaganda. CHADEMA ni kwa ajili ya Watanzania wote.
 
Thread zako zote ni za kuchochea chuki na ubaguzi dhidi ya chadema na kwa bahati mbaya unaongeza na udini na ukabila ndani yake... Wewe ni manafiki na adui mkubwa wa Ukristo na adui mkubwa wa Wachagga... Kila unachoaandika lazima kiwe katika triange hiyo huweze hama hapoo... MDINI, MKABILA NA MZUSHI NA MZANDIKI DHIDI YA CHADEMA... Jifunze siasa zenye stahha huwezi kuijenga CCM kwa kuibomoa CHADEMA (Refer Nape Nnauye) na huwezi kuwa na taifa lenye dini moja na unajenga chuki kwa kuangalia kila kitu kwa miwani ya ukanda na ukabila kabila la mtuu... Wote sisi ni watanzania na tuna haki ya kufurahia keki ya taifa bila kuaangaliwa kwa jicho la ukabilaa..... Tuache unafiki ukienda Halmashauri ya Shinyanga utawakuta Wasukuma wengi kila Idara je huu ni ukabila. ukienda Mtwara utakuta watumishi wengi wa halmashauri ni wenyeji wenyewe je huu ni ukabulaa... ukiingia hata ndani ya CCM utakuta viongozi wengi wana undgu mfano Rais Amaan Karume ni mtoto wa Abeid Karume, Nape NNAUYE ni mtoto wa Moses Nnauye, Vita Kawawa ni mtoto wa Rashid Kawawa, Makongoro Nyerere ni mtoto wa Mwl Julius Nyerere, Riziwan Kikwete ni mtoto wa Jakaya Kikwete, Husein Mwinyi ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi, n.k... Je CCM ni chama cha kinduguu??!!!
CCM ni chama kikubwa sanaa barani Afrika na ni mhimili wa siasa hapa Tanzania lakini baadhi ya wanachama wake na viongozi wamekuwa ni wanafiki na wapotoshaji wakubwa wa maana ya demokrasia ya vyama vingi, badala ya kuvilea na kuvijenga vyama vya upinzani CCM imekuwa adui namba moja wa vyama hivyooo.. badala ya kusimamia ukweli na nguvu za hoja viongozi wa CCM wamekuwa vinara wa propaganda na unafikii, ukabila na udinii.. Haya yanaivunjia heshima Chama cha Mapinduzii..

HAMY-D WE NI MPIGA PROPAGANDA NA MNAFIKI NA SIKU HIZI CHUKII ZITAKALETA UMWAGAJII DAMU ZA WATOTO WETU NA WAKINA MAMA WASIOKUWA NA HATIA HUKUMU YAKO NI KUPIGWA RISASI YA KICHWAAA MBELE YA KADAMNASI BAADA YA SWALAT JUMAAA, AU KUCHINJWA KAMA KUKU..... KAMA WENZETU CHINA WANAWEZA KUTOA HUKUMU ZA AINA HII WHY SISI TUSHINDWEE???!!! MALIPO YA DHAMBII HIII NI HAPAHAPA DUNIA

acha kuhukumu wewe,huna uwezo huo,ni Mungu pekee mwenye uwezo huo.Chadema ni chama cha wachaga hilo liko wazi kabisa na ni -------- tu asiyejua hilo.Wachaga kwa namna yoyote wanabebana na kuteteana ndani ya chadema,wanajitahidi sana kuwaundia mazengwe watu ambao siyo wachaga mara tu wanapovuma mf zitto kabwe.kwa hiyo mimii sishangai lema kumrithi mbowe ni sera yao ya siri,hii tabia hakika itakirudisha nyuma sana hiko chama na hata kufa kwa sababu watu wameanza kushituka na kuachana nacho,wachache wananufaika na chama huku vyasaka wakitumika kama punda eti makamanda! Uharo mtupu
 
Endelea kuishi kwa fununu mpaka utaja stuka mmekuwa chama cha upinzani tena kisicho na wabunge kabisa! Vipi madiwani 8 mliowatimua imekuwaje bosi wenu Nape awarejeshe kazini? Vipi chama chako kimeshindwa kuwafukuza mafisadi na sasa kimebariki biashara ya madawa yakulevya kwa wanachama wenu kisa hamna pesa ya kuhonga wapiga kura 2015? Hahaha chama hakina mkubwa, wote mna mindevu kama kambare wa Mto Luaha

jana nilikuwa na mdogowangu SUGU alikuwa ananiomba ushauli kuhusu kugombea UWENYEKITI au UKATIBU nami nilimshauli kwanza aonane na Mh. Mbowe ili ampe baraka. kumbe sikufanya kosa?
 
Mkuu,

Kama ambavyo nimesema, wewe ni muongo muongo mno!

Katika mfumo wa elimu wa hapa nchini, hakuna mtindo wa kufaulu kidato cha sita, ni vyema ukawa makini ukiwa JF kuliko hata unapokuwa unafanya kazi zako za ufundi mchundo, maana humu JF ina hitajika akili nyingi, ila kazi zako zinahitaji zaidi nguvu.

Kuhusu majina, nadhani gazeti la jamhuri limejijengea sifa kubwa hapa nchini kwa kutoa habari za uhakika na zilizo fanyiwa utafiti wa kina, sio kama kijarida cha CHADEMA (Tanzania Daima), hivyo ile orodha ya watu 250 ipo sawa tu.

Ili hiyo orodha ya watu250 tuikubali tunataka Yale majina yaliyotajwa na hao Punda Kule Hongkong, China, na S Africa yawemo! Kama kama hakuna wewe na Gazeti lenu la Jamhuri ni wasinii wakubwa! Sisi majina tunayo tena ya mapapa sio hivo vidagaa mlivoviandika kwenye gazeti
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Nikiona Jina lako tu Nacheka,hata kabla sijasoma kilichomo.
Mbona wewe sikuzote unaamka na huyu unalala na yule.
 
Teh teh teh, sina kazi mjini?, nategemea CCM ili niishi?, kwani babu yako Dr Slaa ana tegemea nini mjini hapa ili afanye zile trip zake za chooni?, kama ana kazi nyingine nje ya CHADEMA iweke hapa tuijue.

tafuta kazi ya kufanya sasa.......
 
Mkuu,

Kama ambavyo nimesema, wewe ni muongo muongo mno!

Katika mfumo wa elimu wa hapa nchini, hakuna mtindo wa kufaulu kidato cha sita, ni vyema ukawa makini ukiwa JF kuliko hata unapokuwa unafanya kazi zako za ufundi mchundo, maana humu JF ina hitajika akili nyingi, ila kazi zako zinahitaji zaidi nguvu.

Kuhusu majina, nadhani gazeti la jamhuri limejijengea sifa kubwa hapa nchini kwa kutoa habari za uhakika na zilizo fanyiwa utafiti wa kina, sio kama kijarida cha CHADEMA (Tanzania Daima), hivyo ile orodha ya watu 250 ipo sawa tu.
Haiko sawa bwana, sijaona usawa wa kiimani kwenye ile orodha.
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Lema ni jembe ata Mkuu wa nyumba yako anajua! Kamuulize Lema alipotoka TLP ni Mara ngapi huyo Mkuu alifanya mazungumzo na Lema ya kumuomba ajiunge na Magamba? Na nini alimuahidi Lema iwapo kama angejiinga na Magamba? Na baada ya Lema kukataa na kujiunga na Wanaume Makamanda ndo unaona sasa Lema anasakamwa na Makesi, polisi, na Magamba na wako Tayari ata kumzuru na kumtoa uhai! Kwahilo hujakosea inaoenesha ni kiasi gani ata nyie Magamba mnamkubali Lema na mnaiogopa kasi yake! Acha hizo kamuulize spika ule ushahidi wa Lema uko wapi? au muulize Wapigeni tu a.k.a Liwalo na liwe mziki wa Lema vipi?
 
Mods mnaharibu jukwaa kwa kuacha threads za kipuuzi kama hizi.
 
Nikiona Jina lako tu Nacheka,hata kabla sijasoma kilichomo.
Mbona wewe sikuzote unaamka na huyu unalala na yule.

Teh teh teh, mimi nikifikiria tu kuhusu ulivyo mkimbia mumeo nacheka kweli.
 
acha kuhukumu wewe,huna uwezo huo,ni Mungu pekee mwenye uwezo huo.Chadema ni chama cha wachaga hilo liko wazi kabisa na ni -------- tu asiyejua hilo.Wachaga kwa namna yoyote wanabebana na kuteteana ndani ya chadema,wanajitahidi sana kuwaundia mazengwe watu ambao siyo wachaga mara tu wanapovuma mf zitto kabwe.kwa hiyo mimii sishangai lema kumrithi mbowe ni sera yao ya siri,hii tabia hakika itakirudisha nyuma sana hiko chama na hata kufa kwa sababu watu wameanza kushituka na kuachana nacho,wachache wananufaika na chama huku vyasaka wakitumika kama punda eti makamanda! Uharo mtupu

Acha kumkosea Subhana kwa kumhusisha na unafiki wenuu na uchumia tumbooo... Unaongeaa vitu bilaa dataa na unaropoka kwa kutumia sauti kubwa bila kuwa na hojaaa..... Rudi kwenye statistics, moshii Vijijini ni jimbo ambalo asilia tisini ya wakazi wake ni Wachagga na linaongozwa na Cyrialis Chamii ambaye ni mbunge wa CCM je hawa wachagga waliokichagua chama tawala unawaambiaje?!!! Agrey Mwanri ni mbunge wa CCM Siha je unawaambiaje wachaga waliomchaguaa kupitia CCM.. Rombo ilikuwa ni ngome ya CCM na haijawahi kuongozwa na upinzani hadi pale CCM walipojaribu kumbeba fisadi Mramba ndio jimbo hili likaangukia upinzani, je salam zako kwa uzalendo wa watu wa Wachagga wa Rombo kwa CCM kwa miaka yote hiyo unaukebehii?!!!.. Majimbo ya uchaguzi Mkoa wa Kilimanjaro yapo takribani Nane ila ni majimbo ya Hai (Mbowe - CDM), Rombo (Selasini - CDM), Moshi mjini (Ndesamburo- CDM) na Vunjo (Mrema-TLP) ndio yapo chini ya upinzani mengine manne yao CCM.. Je kwa uwiano huu nani mwenye nguvu zaidi kisiasa... (CCM 4, CDM-3, TLP 1)?!!!

Rusi tena kwenye takwimu tujirishishe wabunge wa chadema wametoka mikoa mbalimbali ya tanzania kutoka Kigoma kupitia Singida mpaka Dar. Kutoka Mwanza Shinyanga, Mbeya, Mbozi mpaka Sumbawanga., kutoka Mara, Kilimanjaro Arusha mpaka Iringa.. na madiwani ndio wametapakaa zaidi karibuni mikooa yotee.. Vyama vingi vya upinzani vina uwezo mdogo kifedha hivyo vinakosa uwezo wa kuendesha upinzani nchi nzima hivyo huwekeza nguvu zake zaidi pale vilipo na uhakika wa kushindaa lakini haimaanishi kwamba hivi ni vyama vya kikabila hapana.. hivi vipo kwa mujibu wa sheria na ni taasisi kama taasisi nyingine. Kurundikana kwa watu wa nasaba moja kwenye chama si jambo la ajabu maana hata CCM amacho ni chama Kikongwe wamejaa wengi na familia zao na haijawahi kuwa nongwa... Nenda hata katika moafisi mengi utakuta halamsahauri ya Kyela wamejaa wanyakyusa je huu ni ukabila!!? Halmashauri ya Kigoma wamejaa wahaa je huu ni ukabila?!! Halmashauri ya Muleba wamejaa wasukuma je huu ni ukabila?!!!
Tujiulize viongozi na wakuuu wa vyama wanapatikana kwa kuchaguliwa, je swali ulitaka nani awe mwenyekiti na kama angekuwa ni ------ weewe usingekuwa na shida na kabila lakee??? Je ambao sio wakere unawaambiaje wao ni wajinga kuongozwa na ------?!!! Unaweza kuwa na wenyekiti wa ngapi wa CCM ili awakilishe makabiala yote na dini zote!?
Wabunge hupatikana kwanza kwa juhudi binafsi za mgombea, uwezo wakee na kukubalika katika sehemu anayogombea na mwisho kuchaguliwa na wapiga kuraa?!!! Sasa kama Mtwara au Tanga hakuna mgombea ubunge kupitia CCM aliyejijenga na akasimama na kushinda hilo kosa linakuwaje liwe ni tatizo kwa yule aliyeshinda kupitia chama hicho huko Moshi au Arusha?!!! Mbowe au Lema ndiye aliyekukosesha wewe fursa ya kugombea na kushinda ubunge kupitia chadema kupitia CDM huko Ludewa au Rufiji?!!! Hao wambunge wanotoka mikoa mingine unawaambiaje, walishinda kwa sababu wao ni wachaggaa?!!! Wakina ZItoo, Sugu, Msigwa, Shibuda, Machemli, Said Harfi hawa wanatoka kilimanjarooo.??
Enzi za Nyerere viongozi walichaguliwa kwa utendaji wao na si ajabu ilitokea kwa bahati nzuri au mbaya unakuta kuna ratio kubwa ya waislam au wakristo katika baadhi ya ofisi je huu ulikuwa udinii??!!! Je ni kwanini sasa kila kituu tunachokiangalia tunakitizama kwa miwani za udini, ukabila na uchama?!!!
Bahati mbaya viongozi wengi wa CCM wameingia kwenye siasa hizi za maji taka, na wamesahau misngi iliyowekwa na Mwl. Nyerere. Kila mnapozidiwa hoja mnatafuta majibu mepesi kwa kuangalia udini, ukabila na uchama.. Mnasahau kabisa hii nchiii ni ya watanzania na hizo haki nyingine zinakuja baadaye

Kumtetea HAMY-D lazima na wewe uwe na sifa hizi tatu moja lazima unaamini katika chama kushika hatamu na hakuna chama kingine zaidi ya CCM. Pili mfumo Ukiristo ndio cha matatizo yako na hakuna dini nyingine zaidi ya dini yakoo.. Tatu watu wote wa kaskazini especially wachagga ni chanzo cha matatizo yote na hawastahini kupewa nafasi yeyote ile katika nchiii.. Hii ndio misingi ya hoja za HAMY-D hawezi kucheza mbali na hapaaaa atabadilisha sura lakini upeo wake huishia hapa hapa... Na watu wa aina hiii mpo wengi tuuu ambao kila tatizo mnaweza kulitatua kwa kuangali pande tatu UKIRISTO, UCHAGGA, NA UPINZANI (CHADEMA)...
Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne watu, ardhi, siasa safii na uongozii boraaa.. Nyie mnaa tumiaa kauli hii, ''ili tuendelee tunahitaji, Wenzetuu (mafisadi) na sio waxchagga, ardhii, siasa chafuu na bora viongoziii...''

WEWE NA HUYO HAMY-D NI WANAFIKI NA WABAGUZI WAKABILA NA WADINI
 
Hakuna cha kuangaika na CHADEMA, mimi kama mpenda amani sina budi kufatilia chaguzi za ndani za CHADEMA kwa lengo la kujua ni nani atakae kuwa mwenyekiti, huyu wa sasa zaidi ya kusababisha mauaji na uvunjifu wa amani kwa kiasi kikubwa hapa nchi, hakuna la maana alilofanya. Je, mkimpa Lema itakuwaje?
hahaa mkuu hivi ponda alipigwa risasi kule moro na mwenyekiti wa chadema?
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilele ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
Urithi ni jambo zuri na tunashauriwa kuandika WILL kabla ya mtu kung'atuka ili kuondoa utata unaoweza kujitokeza hapo baadaye.Kama yapo maandalizi kama hayo ni vizuri,kuliko ile ya mtu kuondoka ghafla pasipo mrithi hiyo ni hatari sana kwa mustakabali wa jambo lolote.Nampa BIG UP Mh.Mbowe kwa wazo zuri la kuandaa mtu wa kubeba mikoba yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom