Acha kumkosea Subhana kwa kumhusisha na unafiki wenuu na uchumia tumbooo... Unaongeaa vitu bilaa dataa na unaropoka kwa kutumia sauti kubwa bila kuwa na hojaaa..... Rudi kwenye statistics, moshii Vijijini ni jimbo ambalo asilia tisini ya wakazi wake ni Wachagga na linaongozwa na Cyrialis Chamii ambaye ni mbunge wa CCM je hawa wachagga waliokichagua chama tawala unawaambiaje?!!! Agrey Mwanri ni mbunge wa CCM Siha je unawaambiaje wachaga waliomchaguaa kupitia CCM.. Rombo ilikuwa ni ngome ya CCM na haijawahi kuongozwa na upinzani hadi pale CCM walipojaribu kumbeba fisadi Mramba ndio jimbo hili likaangukia upinzani, je salam zako kwa uzalendo wa watu wa Wachagga wa Rombo kwa CCM kwa miaka yote hiyo unaukebehii?!!!.. Majimbo ya uchaguzi Mkoa wa Kilimanjaro yapo takribani Nane ila ni majimbo ya Hai (Mbowe - CDM), Rombo (Selasini - CDM), Moshi mjini (Ndesamburo- CDM) na Vunjo (Mrema-TLP) ndio yapo chini ya upinzani mengine manne yao CCM.. Je kwa uwiano huu nani mwenye nguvu zaidi kisiasa... (CCM 4, CDM-3, TLP 1)?!!!
Rusi tena kwenye takwimu tujirishishe wabunge wa chadema wametoka mikoa mbalimbali ya tanzania kutoka Kigoma kupitia Singida mpaka Dar. Kutoka Mwanza Shinyanga, Mbeya, Mbozi mpaka Sumbawanga., kutoka Mara, Kilimanjaro Arusha mpaka Iringa.. na madiwani ndio wametapakaa zaidi karibuni mikooa yotee.. Vyama vingi vya upinzani vina uwezo mdogo kifedha hivyo vinakosa uwezo wa kuendesha upinzani nchi nzima hivyo huwekeza nguvu zake zaidi pale vilipo na uhakika wa kushindaa lakini haimaanishi kwamba hivi ni vyama vya kikabila hapana.. hivi vipo kwa mujibu wa sheria na ni taasisi kama taasisi nyingine. Kurundikana kwa watu wa nasaba moja kwenye chama si jambo la ajabu maana hata CCM amacho ni chama Kikongwe wamejaa wengi na familia zao na haijawahi kuwa nongwa... Nenda hata katika moafisi mengi utakuta halamsahauri ya Kyela wamejaa wanyakyusa je huu ni ukabila!!? Halmashauri ya Kigoma wamejaa wahaa je huu ni ukabila?!! Halmashauri ya Muleba wamejaa wasukuma je huu ni ukabila?!!!
Tujiulize viongozi na wakuuu wa vyama wanapatikana kwa kuchaguliwa, je swali ulitaka nani awe mwenyekiti na kama angekuwa ni ------ weewe usingekuwa na shida na kabila lakee??? Je ambao sio wakere unawaambiaje wao ni wajinga kuongozwa na ------?!!! Unaweza kuwa na wenyekiti wa ngapi wa CCM ili awakilishe makabiala yote na dini zote!?
Wabunge hupatikana kwanza kwa juhudi binafsi za mgombea, uwezo wakee na kukubalika katika sehemu anayogombea na mwisho kuchaguliwa na wapiga kuraa?!!! Sasa kama Mtwara au Tanga hakuna mgombea ubunge kupitia CCM aliyejijenga na akasimama na kushinda hilo kosa linakuwaje liwe ni tatizo kwa yule aliyeshinda kupitia chama hicho huko Moshi au Arusha?!!! Mbowe au Lema ndiye aliyekukosesha wewe fursa ya kugombea na kushinda ubunge kupitia chadema kupitia CDM huko Ludewa au Rufiji?!!! Hao wambunge wanotoka mikoa mingine unawaambiaje, walishinda kwa sababu wao ni wachaggaa?!!! Wakina ZItoo, Sugu, Msigwa, Shibuda, Machemli, Said Harfi hawa wanatoka kilimanjarooo.??
Enzi za Nyerere viongozi walichaguliwa kwa utendaji wao na si ajabu ilitokea kwa bahati nzuri au mbaya unakuta kuna ratio kubwa ya waislam au wakristo katika baadhi ya ofisi je huu ulikuwa udinii??!!! Je ni kwanini sasa kila kituu tunachokiangalia tunakitizama kwa miwani za udini, ukabila na uchama?!!!
Bahati mbaya viongozi wengi wa CCM wameingia kwenye siasa hizi za maji taka, na wamesahau misngi iliyowekwa na Mwl. Nyerere. Kila mnapozidiwa hoja mnatafuta majibu mepesi kwa kuangalia udini, ukabila na uchama.. Mnasahau kabisa hii nchiii ni ya watanzania na hizo haki nyingine zinakuja baadaye
Kumtetea HAMY-D lazima na wewe uwe na sifa hizi tatu moja lazima unaamini katika chama kushika hatamu na hakuna chama kingine zaidi ya CCM. Pili mfumo Ukiristo ndio cha matatizo yako na hakuna dini nyingine zaidi ya dini yakoo.. Tatu watu wote wa kaskazini especially wachagga ni chanzo cha matatizo yote na hawastahini kupewa nafasi yeyote ile katika nchiii.. Hii ndio misingi ya hoja za HAMY-D hawezi kucheza mbali na hapaaaa atabadilisha sura lakini upeo wake huishia hapa hapa... Na watu wa aina hiii mpo wengi tuuu ambao kila tatizo mnaweza kulitatua kwa kuangali pande tatu UKIRISTO, UCHAGGA, NA UPINZANI (CHADEMA)...
Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne watu, ardhi, siasa safii na uongozii boraaa.. Nyie mnaa tumiaa kauli hii, ''ili tuendelee tunahitaji, Wenzetuu (mafisadi) na sio waxchagga, ardhii, siasa chafuu na bora viongoziii...''
WEWE NA HUYO HAMY-D NI WANAFIKI NA WABAGUZI WAKABILA NA WADINI