BIDYABALAVYE
Senior Member
- Aug 3, 2013
- 100
- 14
kunya ukalale hujui chadema ilikotoka
kigogo kigogo kipo wapi hicho kigogo
kunya ukalale hujui chadema ilikotoka
Yaani huyu ni mtoto wa kujisingizia wa Nyerere? Nishaona watu wanasingiziwa watoto, lakini watu kujisingizia mtoto wa fulani ni mpya.... Noumer sana!Vipi kijana wa hayati mwl Nyerere upo?
Nadhani kwa jinsi CHADEMA wanavyo recruit viongozi wao hata wewe unaonyesha una sifa za kuwa kiongozi ndani ya CHADEMA.
Kuna hii ishu ya kusimamia uongo mpaka uonekane ukweli; nadhani kwa jinsi ulipotosha watu humu kuwa wewe ni kijana wa hayati mwl Nyerere na baadhi wakaamini, basi wewe ni tunu ndani ya CHADEMA.
Kunya ukalale hujui chadema ilikotoka
huna jipyaEndelea kuishi kwa fununu mpaka utaja stuka mmekuwa chama cha upinzani tena kisicho na wabunge kabisa!
Vipi madiwani 8 mliowatimua imekuwaje bosi wenu Nape awarejeshe kazini?
Vipi chama chako kimeshindwa kuwafukuza mafisadi na sasa kimebariki biashara ya madawa yakulevya kwa wanachama wenu kisa hamna pesa ya kuhonga wapiga kura 2015?
Hahaha chama hakina mkubwa, wote mna mindevu kama kambare wa Mto Luaha
Kuna Tetesi kuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema aliandaliwa kumrithi mwenyekiti wa CDM Freeman Mbowe nafasi hiyo ya uenyekiti ila kutokana na kutokufanya vizuri katika siasa, mh. Mbowe ataendelea kushikilia kiti hicho hadi hapo atakapopatikana mtu wa kurithi kiti hicho
Hapa ule msemo Chadema ni chama cha kaskazini utaendelea kutawala kama