Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

Chadema kina kosi, kila siku kinaongozwa na watu waliofel shuleni
 
Yaani ujingaaa na wajinga hujipambanua kwa hoja za kulazimisha sio zenye nguvu, sasa hapo anataka amwongelee Mbowe bila Kauli ya Mbowe kusikika, tuachane huu uzambiki, inasaidia nini kama CCM na Mwenyekiti wake hawawezi kukamata mafisadi, kutaja waunga ngano etc. ACHA MAMBO HAYO
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilevile ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Hizi propaganda za kizamani sana. Mwigulu anakulipa sh ngapi?
 
Huo ni Uzushi wenu usiokua Na ukweli! Gazeti na chama ni tofauti! Msifikiri Chadema ni Kama cha chenu cha baba, mke, mtoto,mjomba shemeji, Binamu na swahiba!
Hivi mh mbunge viti maalum Rose Kamili si mke wa katibu mkuu? Na Lucy Owenya na Mzee Ndesamburo si mtu na mwanawe au nimekosea? kwani Grace Kiwhelu Ndesamuro si baba mkwe wake au hili nalo unajifanya ulijui? sitaki kumtaja Tundu Lissu na dada yake.Ebu fikiria nafasi chache walizopewa viti maalumu wameweka wake,mahawara,watoto,wakwe,dada je viti vya ubunge vikiongezeka si mpaka shamba boy atapewa nafasi.
 
Kweli habari yako ni ya KIfununu fununu! Hizi habari huwa zinapendeza ukizotoa huku unakuna nazi jikioni unajiandaa kupika
 
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilevile ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.

Ndugu zangu tujiadhari sana na upotoshaji huu unaotolewa na Magamba. Kweli Shetani anafanya kazi yake usiku na mchana.
 
Mtela ni afisa habari mkuu wa uvccm, kama alivyojitangaza humu tupe uzoefu wake ndani ya chama hicho historia yake ya uongozi na mafanikio yake ndani na nje ya nchi lakini mwisho wa siku wewe unaelekea kutafunwa na dhambi ya ubaguzi itakayokufikisha kula nyama ya nduguzo kwa uozo unaouanika hapa
 
Ifuatayo ni taarifa fupi ya utendaji inayopelekea nyota ya Lema kung'aa ndani ya chadomo na kuwagaragaza wenzake.

Kutokana na muda nitatoa taarifa ya mshindi (Lema) na anayeshikilia mkia (Zito)

LEMA ZITO

Elimu.......................................................F Elimu...........................................................A
Uwezo wa kujenga hoja..............................F Uwezo wa kujenga hoja................................+A
Uwezo wa kuhoji chamani...........................F Uwezo wa kuhoji chamani...............................A
Vision......................................................F Vision.........................................................+A
Kujielewa (anapozungumza)........................F Kujielewa (anapozungumza).............................A
Kashfa/matusi/fujo..................................+A Kashfa/matusi/fujo..........................................F
Kuhamasisha vurugu................................+A Kuhamasisha vurugu........................................F
*Utii kwa viongozi wa chama.....................+A Utii kwa viongozi wa chama............................-C
Kutoa mawazo (constructive) kwa wanainchi..F Kutoa mawazo (constructive) kwa wa wanainchi.+A
Maslahi ya chama dhidi ya wanainchi..........+A Maslahi ya chama dhidi ya wanainchi................-C
Kuongea /kutunga uongo kulinda chama.....+A Kuongea/kutunga uongo ili kulinda chama..........B

*Utii kwa viongozi ni kati ya maeneo yanayombeba zaidi Lema, utiifu wake upo juu kiasi kwamba mwenyekiti anaweza kumwambia apande juu pale kitega uchumi ajirushe chini,na atafanya hivyo na atahoji akiwa MOI (kama atakuwa na bahati)

........Hili ni jibu kwa wale waohusisha haya mambo na ukabila...HAKUNA UKABILA ni kujituma...big up Lema.

Source: dodoso "latest" la chama...by the way, this is confidential,huandaliwa na viongozi wakuu wa chama.
 
Safi sana shabiki wangu, natambua tatizo mlilonalo na ninawathamini vilevile mlivyo fansi wangu mwehu!
Mkuu hizi tuhuma naziona mara kwa mara hapa ndani?!!!! ukweli ni upi? wewe ni mtoto wa nani? kwa nini sifafanue maana naona kama una conceive hizo tuhuma kwamba wewe sio mtoto wa nyerere ila unajifanya mtoto wa Nyerere ebu tusaidie imekuwaje hapo
 
Hivi mh mbunge viti maalum Rose Kamili si mke wa katibu mkuu? Na Lucy Owenya na Mzee Ndesamburo si mtu na mwanawe au nimekosea? kwani Grace Kiwhelu Ndesamuro si baba mkwe wake au hili nalo unajifanya ulijui? sitaki kumtaja Tundu Lissu na dada yake.Ebu fikiria nafasi chache walizopewa viti maalumu wameweka wake,mahawara,watoto,wakwe,dada je viti vya ubunge vikiongezeka si mpaka shamba boy atapewa nafasi.

Tambala; hauna hoja ya msingi wewe na siasa zenu za udini na ukabila
 
Shabiki wangu umeshafika na mashairi yako?

Karibu waite nawenzio, ninawapenda sana nyie mafansi wangu,

Vile lile bandiko lenu mnalotembea nalo kila kona sasahivi limechuja? Naona leo hujaanza nalo,

Karibu mpambe wangu a.k.a kipemba
Mungu akunusuru na kukuokoa katika ujinga na tope la umbumbumbu lililokugubika.
Ila ushamba wa asili ni mzigo usiotulika na wengi hufa nao. Nina hakika wewe dogo ni MSHAMBA WA KIWANGO CHA JUU KABISA.
Halafu ni MWANA KIKOPO........
Unamdhalilisha sana mama yako, huoni huruma jinsi alivyidhalilishwa hadi kukupata wewe!!! Hadi unakuja kumshalilisha humu????? That's not fair for your own mother
 
Nilishawambia jamani huyu mtu nikiangalia libichwa lake uwa nalinganisha na threads zake na kujua akili inatokea kwanye kichwa tahila
WanaJF!

Ni wazi kuwa wananchi na hasa wapenzi wa CHADEMA wangependa kujua ni nani kati ya viongozi waliopo mwenye nafasi kubwa ya kuongoza chama hicho kwenye nafasi ya uenyekiti katika ngazi ya taifa.

Ni ukweli kuwa CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa cha siasa nchini, hivyo kwa hadhi hiyo uchaguzi wake ni lazima uwe na hamasa kulinganisha na chaguzi za vyama vingine, hivyo ni haki kwa wananchi kuwa na shahuku na uchaguzi wa CHADEMA.

Katika penya penya zangu na uchunguzi mkubwa nilioufanya kwenye chama hicho, nimegundua kuwa ndani ya CHADEMA kwa sasa ni bwana Godbless Lema ndiye mwenye nguvu na nafasi kubwa ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Aidha, ndugu Lema kwa sasa anapigiwa 'promo' na mwenyekiti wa sasa, bwana Mbowe, kwa kuhakikisha ana ambatana nae kwenye mikutano mikubwa kwa midogo ya CHADEMA, na pia bwana Mbowe bila kificho uwa ana msifu Lema kuwa ndiye 'jembe' la CHADEMA.

Lakini vilevile ningependa ieleweke kwamba, katika mchakato wa kumpata mwenyekiti au kiongozi mwingine yeyote ndani ya CHADEMA kwenye ngazi ya taifa, vigezo vifuatavyo sio vya muhimu sana;

i) ELIMU, angalau mwombaji awe na elimu ya kidato cha nne, nadhani hii bwana Lema atamudu.

ii) UZOEFU, ni CHADEMA pekee ambayo utoa nafasi kwa mtu kuwa kiongozi pasipo kukitumikia chama kwa kipindi cha angalau miaka mitatu.

iii) MAADILI, hili halizingatiwi kabisa, na imeonekana likiwekwa kama kigezo cha kupata kiongozi ndani ya CHADEMA ni wengi watakosa nafasi.

Hivyo basi, ni wazi kuwa kama sifa tajwa hapo juu zimepuuzwa na CHADEMA katika mchakato wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho, ni ukweli usio pingika kuwa Godbless Lema ana andaliwa kuirithi mikoba ya Mbowe.
 
Ndugu zanguni,

Baada ya kuona chama changu cha zamani chadema kinayumba kama mtumbwi kwenye dhoruba kali huku manahodha wake wakiwa wamaechanganyikiwa hawajui la kufanya , nimeona ni vyema nitoe ushauri kwa makamanda ili kunusuru haka kamtumbwi kao.

Mtu pekee anayeweza kukiongoza chama kikamanda na kisawasawa ni KAMANDA LEMA

Lema ni kamanda mtiifu sana na mwenye cv nzuri ndani ya Chadema

Nawaomba makamanda mumuunge mkono Lema ili aweze kuwavusha hapa mlipo

Ni wakati wa kujiunga na TEAM LEMA ...
IMG_4271.JPG

JITAMBUE!
 
Tatizo lako ujitambui na nina wasi wasi na ww sio riziki Chadema aiwezi kuzama utasubiria sana narrow minded
 
Back
Top Bottom