Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,079
Thread ya kipuuzi....Unaweza ukapata laana ukichangia...
Shabiki wangu umeshafika na mashairi yako?
Karibu waite nawenzio, ninawapenda sana nyie mafansi wangu,
Vile lile bandiko lenu mnalotembea nalo kila kona sasahivi limechuja? Naona leo hujaanza nalo,
Karibu mpambe wangu a.k.a kipemba
Teh teh teh teh, tunu ndani ya CHADEMA kwa kamba.Vipi kijana wa hayati mwl Nyerere upo?
Nadhani kwa jinsi CHADEMA wanavyo recruit viongozi wao hata wewe unaonyesha una sifa za kuwa kiongozi ndani ya CHADEMA.
Kuna hii ishu ya kusimamia uongo mpaka uonekane ukweli; nadhani kwa jinsi ulipotosha watu humu kuwa wewe ni kijana wa hayati mwl Nyerere na baadhi wakaamini, basi wewe ni tunu ndani ya CHADEMA.
Wewe umeshakuwa kero hapa Jf,Kila siku Chadema tu huna jipya mkuu,andika vitu vya maendeleo,huo ni ushauri,take it or leave it
"Itakumbukwa kuwa Godbless Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na pia mzaliwa wa Kilimanjaro na ina semekana ana ujamaa na bwana Mbowe, hivyo kwa maelezo haya ni wazi kuwa ametimiza vigezo vikuu vya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa."
Hivi haya unayaandika baada ya kuvuta bange au kubwia Sembe??? Uchaguzi wa CDM unakhusu sana sio??? Kwa taarifa yako CDM ina utaratibu wake wa kupata viongozi na wala haiafutai fununu zako, hizi fununu peleka huko. Kwani wewe umechukua Cheo Cha Sheikh yahaya?
Teh teh teh teh, tunu ndani ya Chadema kwa kamba.
Hivi kati ya mimi na wewe nani ni muongo?
Mimi nasema majina yale ni ya FAULU kujiunga kidato cha sita,
Wewe unakuja na ngano kuwa kwamfumo wenu nyinyi ccm kidato tano hawafaulu kwenda kidato cha sita,
Mbaya zaidi unaleta UONGO mwingine usio na mashiko, Chadema inachombo cha habari?
Hebu nitajie chombo cha habari cha chadema iwe radio, gazeti, tv, nk na uniamie usajili wa umiliki huo ulikuwa lini na leta Namba za malipo ya kodi (TIN Nos)
Ukizoea uongo huoni tabu kusema lolote,
Tatizo huna kazi mjini hapa unategemea ccm ili uishi ndiomana akili ishaganda kiccm ccm tu
Safi sana shabiki wangu, natambua tatizo mlilonalo na ninawathamini vilevile mlivyo fansi wangu mwehu!You're not and you'll never be serious.
Kwako kumlaumu mama yako kwa kutokufanya mapenzi na Mwl Nyerere ili uzaliwe mtoto wa Mwl. Nyerere wa ukweli unaita mashairi.
Kwako kufuatilia kila kinachofanywa na familia ya Mwl. Nyerere ili uwe updated katika uwongo wako kama wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere unaita ni mashairi.
Kwako kulichafua jina la Mwl. Nyerere katika taswira ya jamii kuwa alizini na mama yako na ukazaliwa unaita ni kipemba.
Ninatumaini umewatapeli watu wengi sana huko mitaani kwa kutumia influence ya Mwl. Nyerere kama baba yako mzazi wakati ukweli Mwl. Nyerere ni baba yako wa kufikirika katika ndoto za punguani na alinacha.
Anza kuona aibu kupost thread utumbo humu JF kila uchao. Umelala jana na ulichoota ndotoni ndicho umeleta hapa asubuhi yote hii. Kila uingiapo humu unatetemeka na huachi kuandika CHADEMA.
CCM hii unayoitetea, iliyochoka inajifia soon!
Ndg Yericko Achana na mtu wa ku-harm. Ningekushauli usichangie tena uzi huu usio na tija kwa maendeleo yaetu na taifa hili. Kuna mambo mengi ya kufanya. Asante.
We HAMY-D una taabu sana, Vipi kwenye genge lenu ccm nani atamrithí Kikwete uenyekiti...!?