Funguo ya gari imechomoka kwenye handle yake, msaada waungwana

Funguo ya gari imechomoka kwenye handle yake, msaada waungwana

daah, mzee gari tuli ilock kisha funguo ikapotea ni ya remote, ilitutoka 1mil kutoa lock na kupata funguo na ufundi, bora watuwekee solex tu
Siku nyingine tumia bisi bisi mkuu kufungua milango then unatatua tatizo la funguo.
 
Mkuu uko wapi njoo mm nitakupa buree huo utumbo.then ukitaka kuprogram utatoa elfu 30 na mashine otherwise fuata njia ya manually kama alivyoweka video mdau hapo juu. Inaweza ikakybali au ikakataa
 
daah, mzee gari tuli ilock kisha funguo ikapotea ni ya remote, ilitutoka 1mil kutoa lock na kupata funguo na ufundi, bora watuwekee solex tu
Pole sana mkuu lakini gari ikijilock tumia kisu au bisibisi kufungua mlango wa dereva then una solve matatizo yote gari ikiwa wazi.
Mafundi hua ni waongo sana sana wakigundua huna idea na tatizo linalo kukabiri.
 
M sijui mkuu maaana sijawah kumiliki hata funguo ya chooni
 
View attachment 507062 Salam,
Ufunguo umechomoka kwenye handle yake baada ya handle kubomoka. Nimeshaunga na gundi lakini wapi.... Je, naweza kupata hiyo handle yenye remote ya namna hiyo?? Na je ni rahisi kubadilisha huo utumbo wa remote toka kwenye Hilo kava kwenda kava lingine??? Au ni nini kifanyike????

NB
Sijabandika kuonyesha kuwa ninamiliki gari, kwa hiyo watembea kwa miguu msilete mapovu yenu hapa.

Funguo imechoka, mshikio wake umechakaa na ni dhahiri kabisa kuwa hata hiyo Gari yako nayo ni Saa 12 jioni Mkuu.
 
View attachment 507062 Salam,
Ufunguo umechomoka kwenye handle yake baada ya handle kubomoka. Nimeshaunga na gundi lakini wapi.... Je, naweza kupata hiyo handle yenye remote ya namna hiyo?? Na je ni rahisi kubadilisha huo utumbo wa remote toka kwenye Hilo kava kwenda kava lingine??? Au ni nini kifanyike????

NB
Sijabandika kuonyesha kuwa ninamiliki gari, kwa hiyo watembea kwa miguu msilete mapovu yenu hapa.
We miss tz Diana mtundu sana gari tumekupa jana tu leo umeshaharibu funguo?
 
Sis uku tunaendesha mafuso tu mambo remote tunawashia tv tu
 
Hizo cover zinauzwa wanahamisha hiyo circuit kwenda kwenye housing nyingine na kuchonga funguo nyingine cost yake ni around 30hv ...adawyz funga new lock system (alarm) hiyo funguo unachonga tu
 
Nenda Sinza makaburini wanachonga funguo mpya wanabadilisha huo utumbo kila kitu kinakuwa Sawa Mimi ilinitokea kama hivyo nikarudishia huo original na nikachonga mwingine wa ziada.
 
Back
Top Bottom