Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Elizabeth Dominic tuunde mtandao wetu au vipi?
Hatari Hatari
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic tuunde mtandao wetu au vipi?
Elizabeth Dominic ila mi nakuwa nyuma yako afu chain inakuwa terminated
imekula kwako mazimaaaaaaa!!!!!!
Hatari Hatari
Halafu umenimiss eeeh
Mnooo, sanaaa.......................lakini waswahili wanasema hapendwi mtu inapendwa pochi tu..............niaje lakini? lini unazuka Papaa wa ukweli, mutu mukubwa eeh
charminglady ananiwekea kiwingu meeeeen
Miss u sana ila huyo mtajwa hata sijammiss lol
Hatari, Hatari kitu gani ulivyovamia wake za watu hukujua hayo?
. .my hubby Asprin .
Shem habari za masiku.....Wifi zangu wapenzi... Pamoja na kusema mmepinda hakuna mfano, mimi nawapenda zaidi... Lol.
Shem habari za masiku.....
Eti kumbe we hunipendi kumbe?
Mi nakupenda afu nimekumisi mpaka nakabiliwa na kwikwi za mara kwa mara..... Upo mzima??
Huku buheri shem, Mungu yu mwema kwetu.Mie kila siku nasema usisikilize maneno ya watu! Lol.
Ningekuwa sikupendi si hata home ningekuwa nakufukuza? Mie miss you and love you too shem. Whether you like it or not!
Mie mzima wa afya ODM, vipi pande hizo shem wangu wa ukweli?
Huku buheri shem, Mungu yu mwema kwetu.
Hebu nijuze, hivi huyu AshaDii niliyemquote ndio yuleyule nimjuaye au kuna mtu kamloga?
Na kama ndio yeye mwambie asirudie tena tabia mbaya ya kwenda mbali na ODM. ODM bila ADI ni sawa na kuvaa buti bila soksi. Full maumivu.
On serious note, nimekumiss shem wangu wa ukweli mpaka mishipa ya fahamu imefubaa.
ODM amefurahi sana kupata habari hii.hahaha! Huishi vituko ODM.. Hivi kunaweza kukawa na AshaDii wawili kweli? Siamini... mi mimi mimi! Lol. Kukuhakikishia kuwa umemissiwa pia basi kesho tuongee hata masaa hadi mkoloni wako yule mkorofi ajibebe.
Pole na maumivu basi, all is well and good. Ingawa nashangaa inakuwaje wanimiss hivo na nipo within reach na ukiita tu unajua nitaitika.
ODM amefurahi sana kupata habari hii.
ODM anafanya mchakato amtafutie ADI ka-Samsung manake hako kamchina anakotumia ADI kwa sasa hakapokei mawimbi ya Nokia tochi.
Kila nikibonyeza Namba za ADI naambiwa "kamchina unakopigia kwa sasa hakapatikani, tafazali jaribu tena baadaye". Mi nakasirikaga mpaka naweka mgomo wa kuoga kwenye bafu la pasipoti saizi.
Baada ya kusema hayo, sasa ODM anamwomba ADI apumzike (Anafanya nini mida hii halali huyu msichana?) Awe na ndoto tamu (hasa ya kuota ODM kawa Zito Kabwe wa Tanzania 2015)Hapa umejibanaje ODM? Mie nikiahidiwa zawadi nabanana na mtoa ahadi hadi nihakikishe katoa! Lol. Wewe lete hio sumsung huu mchina nimechoka, after all hata mimi nataka ukipigia nisikie sauti yako pia. ha ha ha!
Kesho mchina nitaweka betri ya m taiwan, walau hayo mawimbi ya nokia torch yakubali, ila sina maana kuwa sumsung isije? Lol. Nimefurahi pia ODM...