Funguka



Siku za upweke utazijua tu ODM, hii mambo ya matala hii nilijifanya naweza kumbe maumivu tu! Sasa mwenzangu gfsonwin anakula vyote mie nang'aa ng'aa tu macho na kuwaombea heri maana roho mbaya sina na yeye na mume wote nawapenda... Lol.

Ngoja nipumzike... Upo sawa kabisa... Do take care.
 
God Bless ADI.
 
Mimi kama ni mawe basi nirushieni, nam-mind sana mtoto wa Kinyamwezi "Preta". Sijui bado anaishi kule Kigoma, natarajia kuzuka mitaa hiyo hivi karibuni!.
 
Asprin na AshaDii mbona kama mazungumzo si ya mashemeji wawili nina wasi wasi
Halafu muda huo mlikuwa mwachati tuu vitanda vilibaki na nani
Nina wasi wasi sana hapo
AshaDii nimekumiss my sis balaa kabisa na unajua nikikumiss nachanganyikiwa kabisa hapa love yangu inatetereka
 
Last edited by a moderator:
charminglady ananiwekea kiwingu meeeeen
Miss u sana ila huyo mtajwa hata sijammiss lol

jamami Erickb52 me cjakuwekea kiwinguppp wangu... we sema waja lini watu tukae mkao wa kuzimika???? kha memiss ile makitu ya smir...... smir....... smir...... hadi napata kigugumizi lolest!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer, njoo uone AshaDii na Asprin wanajaribishia shemeji shemeji huku wanazima taa

 
Last edited by a moderator:
Ngoja nipite tu maana post zingine kutafutiana ban


Dena Amsi my wife wangu nikupendae kwa moyo wote na mwili wote
Hivi nikuulize hapo juu hapo umepitia hiyo thread kwani
Niliandika nikiwa na hang over kwa hiyo usihangaike sana dear ni mimi na wewe tuu
Halafu nahisi Erickb52 ameiba pasword yangu anapost kwa kuitumia hiyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…