Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Fanya kile unachokiamini..usifanye kwa mkumbo be a master of your own..usifanye tu sababu fulani anakuambia ufanye kitu...na pia fikiri kabla ya kutenda majuto ni mjukuu

Naungana na wee,,fanya unachokiamini kipo sawa hata kama dunia nzima watakupinga.Muhimu ni kujua nini unataka kufanya na kupanga jinsi ya kufanya ili ufanikiwe. Ukifanikiwa hata walokupinga watakusapoti.
 
gorgeousmimi maisha yamenifundisha mengi sana lakini mambo makuu zaidi ni kufurahia na kutumia vitu vizuri pamoja na wale unaowapenda kadri wakati na uwezo wako unavyokuruhuu coz once your loved ones are gone you can never bring them back na hata kama ni pesa kamwe huwezi kuzifurahia ikiwa unazitumia peke yako bila watu unaowapenda,pia vitu kama pesa,magari na nyumba za kifahari sio kila kitu ila there is nothing like a good and a happy family believe me gorgeousmimi a good peace and a happy family is what can make a peson move on in this wicked world,asante kwa somo murua shosti yangu.
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza kufanya mambo kwa wakati, ukipata nafasi ya kufanya jambo fulani na ukaw;a na uwezo wa kulifanya we fanya as long as ni jambo jema litakuwa na manufaa kwako, pia nimejifunza kujitegemea na kumtumaini Mungu, pia MAISHA yamenifundisha makosa niliyoyafanya hukoooo misri yawe chachu ya mafanikio yangu!!!!
 
Mimi maishani mwangu nimejifunza mengi sana....
.Mafanikio yako ni uadui mkubwa sana na walio kuzunguka(kikulacho kinguoni mwako)
.Binadamu wanapenda sana kuona unateseka hivyo angalia watu wa kuuwaambia shida zako
.Life is not fair to anybody....fight as you can
.Muda ni hakimu mzuri sana...
.Ni vizuri kujifunza kutatua matatizo yako binafsi...ya binadamu mazito
.Ukimsaidia mtu mara nyingi hatokusaidia,yaani tenda wema ondoka usingoje shukrani...wewe utasaidiwa na mwingine
.Pia kuna watu wapo duniani kukwamisha maisha ya wenzao hivyo unatakiwa kuwa makini sana ,Pia mhusishe Mungu katika kila Jambo.
.Ni nizuri kuwa mkimya kuliko muongeaji maana ukiongea mtu atakuelewa ni vizuri usieleweke...
 
nimejifunza kuwa wanawake wawe waangalifu maana wanaume wengi wa sasa ni waoga wa maisha hivyo pendo la ndoa ni pamoja na kipato cha mke.
 
Nimejifunza mambo mengi mno ktk maisha yangu. Kwanza kabisa nimejifunza kuchukuliana na wengine kwani hatufanani na Kutolaumu watu kwa sababu yoyote ile. Pia kutokata tamaa kwani maisha yana changamoto nyingi ambazo zinatusaidia kusonga mbele. Kitu kingine nimejifunza kuwa msikizaji hata pale inapoonekana msemaji hana la maana kwani wanasema hakuna upuuzi uliojaa upuuzi. Yapo mengi nimejifunza na naendelea kujifunza ktk maisha.
 
Nimejifunza:

1. "You can't be my friend unless i know your weaknesses" When you turn rogue i know where exactly to deal with you.

2. Financial Freedom ni muhimu sana, sio kuishi kwa ajira.

3. Being Optimist and Opportunist.

4. Exploit your talents, tumia kama chanzo cha mapato.

5. Do what makes you happy always.

some valid points here
 
No matter who tries to teach you lessons about life, you won't understand it until you go through it on your own. That is what life has taught me.
 
Nimejifunza usimuamini mwanamke hata mmoja unaekutana nae njiani
 
Back
Top Bottom