No I dont think he still remember me
nimejifunza kuwa wanawake wawe waangalifu maana wanaume wengi wa sasa ni waoga wa maisha hivyo pendo la ndoa ni pamoja na kipato cha mke.
Nyani Ngabu anajua umerudi?
No I dont think he still remember me
nmejifunza1. kuwa mtumishi serikalini ni hamna stress kuliko kuwa kwenye private institutes 2.leo haifanani na kesho wala kesho kutwa au jana.3,ukiona uko na wakati mgumu sana jua mambo mazuri yatabisha hodi soon 4.hata iweje mke wako ni rafiki tu sio ndugu yako 5.vijana wengi hawapendi kazi ngumu yaani hawajitumi.
Karudi kimya kimya huyo....
kwanini mamy??what happened?That life goes on
Nimejifunza kutokata tamaa na kuwa risk taker...
Nilianza maisha from zero point na kila aliyenifahamu miaka 10 iliyopita hawezi kuamini hatua niliyopiga mpaka sasa kwa usimamizi wangu pekeyangu. Nimepita katika vizingiti kana kwamba mpaka mama yangu mzazi akanambia "mwanangu acha hiko ufanyacho kimeshindikana" lakini niligangamara kwa lazima mpaka kikanitoa. Na hiki sio kingine bali ni shule... Jamani elimu inalipa aisee.... "Kama elimu ni ghali, jaribu ujinga"
Cha muhimu ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kumuomba kwa sana hakika hatakutupa. Hii ni kwa wanaoamini uwepo wake...