Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Hahahaaaa... trust me mkwe, najua ninachokiongea.... ivi kumbe upo mkwe?

Money is power .mwanaume pesa Mie Mwanaume Kama hajui tafuta pesa sorry .i love money so much cause I love shopping and drinking grey goose and cranberry every night .mwanamke high maintenance
 
Hata mimi naamini katika hilo kwamba elimu ni ufunguo wa maisha,ukiwa na elimu una silaha muhimu ya kupigania maisha.Hata kama hutopata ajira una knowledge ya kufanya mambo ya msingi…Hongera kwa mafanikio yako rafiki!
Fikra za mwalimu Nyerere hizo .capitalist don't work that way .Life Lazima u risk wewe kaa na elimu yako
 
OLESAIDIMU hili la kuwa makini na sosho kepito niko nalo makin maana na mifano ya watu walioumizwa na watu waliwaamini,aidha kwa kukutana au kukutanishwa,wengine huwa hawana nia ya dhati kabisaaa,ni maknjanja,asante mdau

On your mark son!!!
 
Last edited by a moderator:
Kheri yao wanaonufaika kupitia kwa migongo ya wengine lakini mimi nanufaika kupitia kwenye jasho langu na nafurahia matunda ya juhudi zangu....kumbuka hata hao walorithi kuna mtu amehenyeka kupata mali hizo...i have dignity in my life...coz i know i deserve every outcome of my hard work than waiting for someone to serve me a plate of candy! I am proud of my self and the person i am today!
Wewe hizo ni fikra za umaskini.Na wewe nufaika kwa jasho la mtu mwingine .jasho litakuzika ,kukulipia dawa .u free mason tu .Let money chase you
 
Ukifa kuna dignity?no more life after death Haya.Take risk ,think like a capitalist .kama ni Mwanaume marry a rich woman
 
Ukifa kuna dignity?no more life after death Haya.Take risk ,think like a capitalist .kama ni Mwanaume marry a rich woman

Ukifa kama ulikuwa na dignity utakufa nayo na utabakiza historia!una jingine?
 
Fanya kile unachokiamini..usifanye kwa mkumbo be a master of your own..usifanye tu sababu fulani anakuambia ufanye kitu...na pia fikiri kabla ya kutenda majuto ni mjukuu
 
Fikra za mwalimu Nyerere hizo .capitalist don't work that way .Life Lazima u risk wewe kaa na elimu yako
Elimu yangu itapeleka mkono kinywani mwangu popote nitakapoenda na nakuhakikishia popote!pole yako ww unaesubiri matunda yakudondokee kutoka mtini baadala ya kuyafata uyatungue ndo matokeo yake unapata matunda yalooza na yenye wadudu!
 
Money is power .mwanaume pesa Mie Mwanaume Kama hajui tafuta pesa sorry .i love money so much cause I love shopping and drinking grey goose and cranberry every night .mwanamke high maintenance

ndicho ulichojifunza?
 
Cash ni muhimu bank kuliko majumba.ukiumwa uweze jilipia sio Mtu unachangiwa kwenda india na wakati unakaa Kwenye nyumba ya billion

Ndo mana nikaweka financial freedom hapo
 
Wewe ushasikia trust fund babies .kuna watu hawana haja ya kwenda shule wala Kufanya Kazi cause wame inherit a lot of money .paris Hilton kwa mwezi anakusanya 50,000 dollar check Yaani hiyo from inheritance na hapo Mara DJ Mara a nalipa ku attend party .wewe chezea dunia

Huyo ni yeye Paris....what about you?!!
 
Money is power .mwanaume pesa Mie Mwanaume Kama hajui tafuta pesa sorry .i love money so much cause I love shopping and drinking grey goose and cranberry every night .mwanamke high maintenance

if you love spending that much you just go and fetch for your own cash cuz you are not even that pretty for a gentleman to make rain on you!!
 
Fikra za mwalimu Nyerere hizo .capitalist don't work that way .Life Lazima u risk wewe kaa na elimu yako

You must take a risk, but how?!! blindly?!! NO...you must have the compass to locate you to the right direction and that compass is EDUCATION!!!
 
Wewe hizo ni fikra za umaskini.Na wewe nufaika kwa jasho la mtu mwingine .jasho litakuzika ,kukulipia dawa .u free mason tu .Let money chase you

na wewe unajiita ni great thinker and this is how you think...WEWE NI JANGA KWA TAIFA!!
 
ndio ulichofanya? duuuh, tunatofautiana, wenzio bado conscious zetu hazijakufa aisee.
Marry a wealth man .Zaa nae ,fungua trust funds,file for divorce and file child support and claim the big house .ship money to tanzania buy and rent houses .
 
Back
Top Bottom