OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
jamani. mi sina ubaya na mtu. mzima wewe? mekumithiiii.
Enheeee hayo sasa ndio maneno!!!!!!
Miss sana wewe
jamani. mi sina ubaya na mtu. mzima wewe? mekumithiiii.
Nimejifunza mengi ila kubwa ni kua pesa sio kila kitu...
nimejifunza kuwa mwema kwa watu wote maana unapoanguka anaweza kukuota mwingne tofauti na uliyetarajia.
Kweli mkwe.
and family is the best thing that can happen to anyone. Waswahili wanasema mchuma janga hula na wa kwao
nimejifunza kuwa mwema kwa watu wote maana unapoanguka anaweza kukuota mwingne tofauti na uliyetarajia.
Sasa Mbona Wenye Hela Wanatushikisha Adabu Kila Kukicha Huku Mtaani?
...ni wewe ndio umependa waku treat as such...jinsi unavyojiweka ndivyo watu watakavyoenda na wewe!!
umeona eeeeh!! vipi bado unaosha vyombo huko?
kama yepi funguka dia!mambo mengi sana nimejifunza
Hata mimi naamini katika hilo kwamba elimu ni ufunguo wa maisha,ukiwa na elimu una silaha muhimu ya kupigania maisha.Hata kama hutopata ajira una knowledge ya kufanya mambo ya msingi Hongera kwa mafanikio yako rafiki!Nimejifunza kutokata tamaa na kuwa risk taker...
Nilianza maisha from zero point na kila aliyenifahamu miaka 10 iliyopita hawezi kuamini hatua niliyopiga mpaka sasa kwa usimamizi wangu pekeyangu. Nimepita katika vizingiti kana kwamba mpaka mama yangu mzazi akanambia "mwanangu acha hiko ufanyacho kimeshindikana" lakini niligangamara kwa lazima mpaka kikanitoa. Na hiki sio kingine bali ni shule... Jamani elimu inalipa aisee.... "Kama elimu ni ghali, jaribu ujinga"
Cha muhimu ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kumuomba kwa sana hakika hatakutupa. Hii ni kwa wanaoamini uwepo wake...
Hata mimi naamini katika hilo kwamba elimu ni ufunguo wa maisha,ukiwa na elimu una silaha muhimu ya kupigania maisha.Hata kama hutopata ajira una knowledge ya kufanya mambo ya msingi Hongera kwa mafanikio yako rafiki!
Mmh, nipo bwana sasa hivi namfulia paw na mzee Mtambuzi hapa. Yaani kuwa working class sio mchezo manake hapa mshahara ni ugali, nanihii na baraka za mshua.
ntakuja mpwapwa kula zile nyama mbichi