Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Moja wapo Nilichojifunza:
kuna kobe na sungura sungura anakimbia kobe ananyata ila wote hufika wanapoenda. Nini namaanisha njia ya mwenzio kufanikiwa isikutie hofu na wewe kutaka kupita njia ile ile ni kujipanga na kuangalia nafasi nyingine wanasema mlango mmoja ukifungwa mingine inafunguliwa

Maisha hayana 'fomula' ngoja niishie hapa maisha yamenifunza mengi

Exactly mkuu!!
 
OLESAIDIMU hili la kuwa makini na sosho kepito niko nalo makin maana na mifano ya watu walioumizwa na watu waliwaamini,aidha kwa kukutana au kukutanishwa,wengine huwa hawana nia ya dhati kabisaaa,ni maknjanja,asante mdau
 
Last edited by a moderator:
Dah nmejifunza mengi sana.

1. Do what u like and not what others like. This is when choosing careers.

2. Study hard and aim for the highest if u r a student.

3. Learn from mistakes and move on. Your past has nothing to do wit ua future.

4. Make sure you have less liabilities than ua assets.

5. Choose to be happy and this is the hardest part since we so much hold on things which make us sad than ones which make us happy. Am always suffering from this.
 
Life imenifundisha:
1.Today might be my last day. Niishi kwa kumkumbuka Mungu kadri niwezavyo coz dunia hii na maisha haya sio permanent, tunapita tu.
2. To be thankful for all the blessings, hata vile vitu tunavyoona ni "automatic". Even being able to wake up in the morning and work its a huge blessing, some people are not so fortunate.
3. Kutafuta rizki ni muhimu but money is not everything, no need to step on people's toes to hasten your way up.
4. Be happy, God is in control always
 
Life is about choices .na 90 percent ni partner unaechagua .Kuwa mama is the best reward ever na penzi la mtoto wako ni pure huwezi elezea .My children comes first na kuwa mwaminifu kwa mungu and life is not that serious .college is for poor people
 
Ningeweza kuongelea kuhusu mimi lakini nisiwe mbinafsi kila mtu ana maisha yaliyoyapitia yawe ya mteremko au magumu,lakini kuna dhana na njia alizotumia kutatua matatizo yake.Nimejifunza katika maisha yangu kwamba nothing comes for free in life.Ukitaka maisha mazuri lazima upiganie kuyatafuta,uweke nia na malengo na uyafanyie kazi,usisubirie muujiza ukushukie,tumia hekima, akili na busara ulizozaliwa nazo kujijenga maisha yako ya baadae.Ukipigana kutafuta mafaniko,hakika utayaona matunda yake."NO SWEETS WITHOUT SWEAT" Usivunjike moyo ukianguka,inuka na usonge mbele,fanya juhudi zaidi.

Sikuwa na maisha rahisi katika malezi yangu,lakini nimeridhika na maisha nilonayo sasa,hayajakamilika na hayapo kama ninavyoombea lakini nimetimiza malengo yangu mengi ya muhimu kwangu kwa maisha ya sasa na ya baadae na kwa hilo napaswa kusema alhamdulillah.

Ewe mwenzangu maisha haya yamekufundisha nini,chochote kile funguka!!

Karibuni wapendwa!

Wewe ushasikia trust fund babies .kuna watu hawana haja ya kwenda shule wala Kufanya Kazi cause wame inherit a lot of money .paris Hilton kwa mwezi anakusanya 50,000 dollar check Yaani hiyo from inheritance na hapo Mara DJ Mara a nalipa ku attend party .wewe chezea dunia
 
Nimejifunza:

1. "You can't be my friend unless i know your weaknesses" When you turn rogue i know where exactly to deal with you.

2. Financial Freedom ni muhimu sana, sio kuishi kwa ajira.

3. Being Optimist and Opportunist.

4. Exploit your talents, tumia kama chanzo cha mapato.

5. Do what makes you happy always.
Cash ni muhimu bank kuliko majumba.ukiumwa uweze jilipia sio Mtu unachangiwa kwenda india na wakati unakaa Kwenye nyumba ya billion
 
Wewe ushasikia trust fund babies .kuna watu hawana haja ya kwenda shule wala Kufanya Kazi cause wame inherit a lot of money .paris Hilton kwa mwezi anakusanya 50,000 dollar check Yaani hiyo from inheritance na hapo Mara DJ Mara a nalipa ku attend party .wewe chezea dunia

Kheri yao wanaonufaika kupitia kwa migongo ya wengine lakini mimi nanufaika kupitia kwenye jasho langu na nafurahia matunda ya juhudi zangu....kumbuka hata hao walorithi kuna mtu amehenyeka kupata mali hizo...i have dignity in my life...coz i know i deserve every outcome of my hard work than waiting for someone to serve me a plate of candy! I am proud of my self and the person i am today!
 
There is no easy money rafiki, namba 1 na namba 5 zinakinzana! Huwezi kupata mali za kutosha kama haujistress kuzipata. Serikali tu ndo kuna miujiza, mtu analipwa mshahara milioni moja na anajenga jumba hataree, anaendesha gari la maana na watoto wanaenda shule nzuri. Lazma uwe MWIZI!

jiongeze.
Marry a wealth man .Zaa nae ,fungua trust funds,file for divorce and file child support and claim the big house .ship money to tanzania buy and rent houses .
 
Nimejifunza, Unapoanza kufanya jambo lolote la kimaendeleo mwanzo wake kueleweka na jamii huwa vigumu thus why hutokea watu wa kukukatisha tamaa, lakini ukweli ni kwamba mwishoni la jambo hilo ndio watu watakuelewa vizuri that whta you meant before the mission,

hivyo jambo jema hueleweka mwishoni na sio mwanzo.
 
Back
Top Bottom