Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,666
Ningeweza kuongelea kuhusu mimi lakini nisiwe mbinafsi kila mtu ana maisha yaliyoyapitia yawe ya mteremko au magumu,lakini kuna dhana na njia alizotumia kutatua matatizo yake.
Nimejifunza katika maisha yangu kwamba nothing comes for free in life.
Ukitaka maisha mazuri lazima upiganie kuyatafuta,uweke nia na malengo na uyafanyie kazi,usisubirie muujiza ukushukie,tumia hekima, akili na busara ulizozaliwa nazo kujijenga maisha yako ya baadae.
Ukipigana kutafuta mafaniko,hakika utayaona matunda yake."NO SWEETS WITHOUT SWEAT" Usivunjike moyo ukianguka,inuka na usonge mbele,fanya juhudi zaidi.
Sikuwa na maisha rahisi katika malezi yangu,lakini nimeridhika na maisha nilonayo sasa,hayajakamilika na hayapo kama ninavyoombea lakini nimetimiza malengo yangu mengi ya muhimu kwangu kwa maisha ya sasa na ya baadae na kwa hilo napaswa kusema alhamdulillah.
Ewe mwenzangu maisha haya yamekufundisha nini,chochote kile funguka!!
Karibuni wapendwa!