Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Nimejifunza kuwa kusuffer sana sio lazima ndo upate unachotaka na unaweza kuhangaika kufight sana kwa jambo lakini mwisho wa siku unalikosa,It is not necessary to get what you think you deserve. we always get what we get.sometimes you may give much and end up receiving nothing.
 
Nimejifunza kuwa kusuffer sana sio lazima ndo upate unachotaka na unaweza kuhangaika kufight sana kwa jambo lakini mwisho wa siku unalikosa,It is not necessary to get what you think you deserve. we always get what we get.sometimes you may give much just to receiving nothing.
 
Maisha ni kutesa kila siku, japo pesa siyo kila kitu.
 
Maisha ni saana Usanifu ubunifu ndo kipimo wanajf
 
Nimejifunza kutokata tamaa na kuwa risk taker...

Nilianza maisha from zero point na kila aliyenifahamu miaka 10 iliyopita hawezi kuamini hatua niliyopiga mpaka sasa kwa usimamizi wangu pekeyangu. Nimepita katika vizingiti kana kwamba mpaka mama yangu mzazi akanambia "mwanangu acha hiko ufanyacho kimeshindikana" lakini niligangamara kwa lazima mpaka kikanitoa. Na hiki sio kingine bali ni shule... Jamani elimu inalipa aisee.... "Kama elimu ni ghali, jaribu ujinga"

Cha muhimu ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kumuomba kwa sana hakika hatakutupa. Hii ni kwa wanaoamini uwepo wake...

Nimeikubali hii,Kiongozi Mungu azidi kukuongoza
 
Ningeweza kuongelea kuhusu mimi lakini nisiwe mbinafsi kila mtu ana maisha yaliyoyapitia yawe ya mteremko au magumu,lakini kuna dhana na njia alizotumia kutatua matatizo yake.

Nimejifunza katika maisha yangu kwamba nothing comes for free in life.

Ukitaka maisha mazuri lazima upiganie kuyatafuta,uweke nia na malengo na uyafanyie kazi,usisubirie muujiza ukushukie,tumia hekima, akili na busara ulizozaliwa nazo kujijenga maisha yako ya baadae.

Ukipigana kutafuta mafaniko,hakika utayaona matunda yake."NO SWEETS WITHOUT SWEAT" Usivunjike moyo ukianguka,inuka na usonge mbele,fanya juhudi zaidi.

Sikuwa na maisha rahisi katika malezi yangu,lakini nimeridhika na maisha nilonayo sasa,hayajakamilika na hayapo kama ninavyoombea lakini nimetimiza malengo yangu mengi ya muhimu kwangu kwa maisha ya sasa na ya baadae na kwa hilo napaswa kusema alhamdulillah.

Ewe mwenzangu maisha haya yamekufundisha nini,chochote kile funguka!!

Karibuni wapendwa!

Maisha ya Bongo yanaonesha Uongo ndio mwingi kuliko ukweli.Nilitembelea Hosp moja nikakuta tangazo kuwa kuwa usitoe na wala kupokea rushwa lkn hata huyo niliyempeleka aliombwa Rushwa,kuna tangazo linaonesha huduma ya afya kwa mtoto wa umri chini ya miaka mitano ni bule nikaona mzazi akilalamika mtoto wake wa umri wa miezi minne amemlipia Tsh.15,000/= kupatiwa dawa ktk hosp ya Kijiji.Nakwenda kutafuta kazi naona tangazo getini hakuna kazi lkn ndani kuna watu wanawajibika sasa cjui walishindwa nini kusema nafasi za kazi hazipo,basi yapo mengi zaid ya hayo kiongoz lkn maisha yanaenda na wala sitowaiga wao nitakuwa mkweli cku zote.
 
Wewe ushasikia trust fund babies .kuna watu hawana haja ya kwenda shule wala Kufanya Kazi cause wame inherit a lot of money .paris Hilton kwa mwezi anakusanya 50,000 dollar check Yaani hiyo from inheritance na hapo Mara DJ Mara a nalipa ku attend party .wewe chezea dunia

That's why nasema maisha ni saana Usanifu ubunifu ndicho kipimo...wapo wanao hustle wengine wanasubiri wanao hustle then wanaishi sawa.
 
Na hii ndo jumla ya mambo yote yaliyokwisha kunenwa.
Ni ubatiri, mambo yote duniani ni ubatiri na kujirisha upepo.

Ila mkumbuke Mungu siku za ujana wako kabla hazijaja siku zile zilizo mbaya, pale utakaposema , sina furaha tena moyoni mwangu.
 
Nimejifunza maisha yanaweza kuharika saa yoyote hivyo usife moyo kwa kuharibika kwa maisha yako ghafla bali fanya marekebisho
 
nimejifunza kwamba usimdharau mtu yeyote kabla hajafa. Akiwa bado angali hai aweza fanya
 
Back
Top Bottom