Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Funguka: Maisha yamekufunza nini?

Nimejifunza kujipa furaha mwenyewe, najipa nachokitaka kama nina uwezo nacho.
I do what makes me happy.
 
Mmeongea mengi wadau na ya kweli sana tu!!!!!!
Naongeza kidogo kwa Mkoroshokigoli hapo kwenye social capital!!!!

Pamoja na uzuri wa social capital ni muhimu sana kujua nani ni nani kwa wakati upi sababu wanaotuangusha mara nyingine hutokea humo humo kati ya wanaotujua,tahadhari sana na watu awe business partner or competitor, supervisor kazini au immediate boss spare your "core" kuna watu wakikujua sana taratibu wanajigeuza "enemies from within" kama sio wao basi watatuma wengine kukuhujumu....kikulacho style!!!!!!!!!

The Boss you just did it!!!!!!!!!

Kufanikiwa na kufeli asilimia kubwa kunasababishwa na mtu mwenyewe wengine huchangia tu!!!!!
Unapoamua kuzaa au kujenga familia basi jua umechukua dhamana za maisha ya wengine ni LAZIMA uhakikishe ustawi ,furaha,amani,usalama na faraja miongoni mwao nasema ni LAZIMA!!!!!

Wazazi jamani ndugu zanguni tutunze ,tuheshimu na kunyenyekea wazazi wetu hamna jinsi ya maneno ya kutosha hapa ila hakikisha wazazi wako hawajuti kukupata wewe,hawasikitikii matendo yako,hawasononekii uwepo wako hata kama huna cha kuwapa basi TUSIWAKERE WAZAZI WETU!!!!!!

IMANI YAKO NI SEHEMU KUBWA YA MAISHA YAKO

Nimependa ujumbe wako... Haswa hapo kipengele cha kujenga familia. Kumbe nina wajibu na furaha ya wanizungukao....
 
Last edited by a moderator:
Kutokumuamin mtu yeyote hata kama awe analala kanisan au msikitini au mcha Mungu nimuonavyo mm lakin kwa ndan cwez jua kabeba nn. Na bado ni binadamu ana madhaifu yake kama binadamu wengine haijalish hata kama ananena lugha zote za dunian na mbingun yeye ni bado binadamu kama wengine. Nimejifunza kumuamini Mungu tu katika yote na kumwambia shida zangu ni Mungu tuuu. Binadamu na yeye ni kiumbe kama mimi. Hata cjui nisemeje yaaaani uhiiii. Mungu ni kila kituu
 
Unafanya vitu vibaya huwakomoi watu bali ujakomoa mwenyeo na vitakuadhibu rohoni hadi unakufa
 
Nimejifunza kujipa furaha mwenyewe, najipa nachokitaka kama nina uwezo nacho.
I do what makes me happy.

Doing what you love is where happiness lives

Nami niko hivo I don't live to impress anyone
 
nimejifunza kufeli shule sio kufeli maisha, pamoja na kuishia form 2 tu lakini naishi beautiful life lililowashinda wasomi wengi mjini, thanks God for that, OJUELEGBA!
 
Nilichojifunza kwenye Maisha ni kuwa makini na kila unachokifanya. Kingine ni kuanza kuishi kama unavyotaka uje uwe mtu wa aina gani baada ya kufika age fulani.
 
Nilichojifunza ni kwamba;
Hutakiwi kubadilisha marafiki ikiwa unajua marafiki wanabadilika.
 
nimejifunza kufanya "Mabadiliko" pale yatapohitajika kwa muda na wakati maalum.

ahsante
 
nimejifunza kuomba msamaha walionikosea endapo hawataomba wao...sababu naweza fikiri kuwa wamenikosea kumbe mim ndie mkosaji..ili maisha yaendelee.
 
kwenye maisha utakuwa na marafiki weng sana ukiwa nacho,ukiwa hauna utajua yupi rafk wa kwl na yup wa uongo!ila weng wanampenda m2 akiwa nacho.
 
in life ni kuwa humble tu....kuna watu they think wao ni 'center of the universe'..kila kitu kianzie na wao...kumbe you are just one among 7 billion people...don't take yourself so serious....life is too short...

you nailed it! kuwa humble unapokuwa kitu ndo kipimo cha utu ulionao
 
in life ni kuwa humble tu....kuna watu they think wao ni 'center of the universe'..kila kitu kianzie na wao...kumbe you are just one among 7 billion people...don't take yourself so serious....life is too short...

you nailed it! kuwa humble unapokuwa na kitu ndo kipimo cha utu ulionao
 
Nimejifunza kutokata tamaa katika maisha,ukijikwaa nyanyuka chapa mwendo.
 
Back
Top Bottom