G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,788
- 1,966
Samahani, nilivonuona na kanzu nikajiuliza kama alikuwa na elimu ya dini yake anawezaje kujinyonga?
Samahani, nilivonuona na kanzu nikajiuliza kama alikuwa na elimu ya dini yake anawezaje kujinyonga?
Kwani mkuu kujiuwa ni kazi ndogo?Wanaume hatukimbii matatizo chief huyu kaonyesha udhaifu
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sozi gani mkuuDuh nawaona mafundi wenzie..sikuwah mfahamu alale pema..nasikia na tajiri Sozi amevuta asbh!..😭
Ni mbele yetu, nyuma yake...R.i.p mbele yake nyuma yetu apumzike Kwa amani
Kwa wanaoyajua maisha ya Morogoro hawawezi kushangaa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Samahani, nilivonuona na kanzu nikajiuliza kama alikuwa na elimu ya dini yake anawezaje kujinyonga?
Maisha yetuKattika hali ya kustaajabisha wengi Fundi.simu Maarufu mkoani morogoro aliyejulikana kwa jina la Rashidi Nyuki mkazi.wa kihonda veta amejiua kwa kujinyonga.
Hakuacha ujumbe wowote polisi wanaendelea na uchunguzi.
View attachment 1709402
Utakuwa unachengwa weweAlikuwa fundi au shehe?
Umesahau maradhi tena yale ya aibuMapenzi, Madeni, Kesi, mojawapo kati ya matatizo hayo yawezakuwa
Hebu muoneni huyu jamaniJapo sijui kisa nini ila nina wasiwasi mwanamke ndiye kahusika na huu mkasa



huwa yanatolewa kupeleka watu mazishi huwa hayawi mengi hutoa basi moja tuMbona siyaoni mabus mekundu hapo msibani
Ni kubwa Sana mkuu Ni kubwa mno ambapo Mimi siiwezi.Kwani mkuu kujiuwa ni kazi ndogo?