Fundi simu maarufu ajinyonga Morogoro

Atakuwa muhehe huyo

Wahehe ndio hupenda sana kujinyonga nadhani hata wakiandika CV pale kwenye eneo la hobbies wahehe wanatakiwa waandike katika hobby mbalimbali walizonazo mojaeapo waandike Kujinyonga
 
Kattika hali ya kustaajabisha wengi Fundi.simu Maarufu mkoani Morogoro aliyejulikana kwa jina la Rashidi Nyuki, mkazi wa Kihonda veta amejiua kwa kujinyonga.

Hakuacha ujumbe wowote polisi wanaendelea na uchunguzi.

View attachment 1709402
Hakuacha ujumbe wowote, halafu unasema amejinyonga, nani kakuambia kwamba amejinyonga? Kwanini usiseme kwamba amekutwa ananing'i nia juu ya mti au dari, ili vyombo vya usalama ndo viseme kama alinyongwa au kujinyonga!
 
Fundi kaacha watoto wazuri wa Kihonda,bima, samaki samaki,mafisa,mafiga ,focal land,sua, mjini, mwembesongo, yaani inshort fund kaacha utamu wa moro na viunga vyake
 
Mutu mpaka unafikia maamuzi ya kujiuwa!!!!! Tena Muislamu na unajua kujiuwa ni dhambi!!! inna lillahi!!!!!

Wala usiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza. (kuiuwa) isipokuwa kwa haki.
 
Back
Top Bottom