Fundi simu maarufu ajinyonga Morogoro

Fundi simu maarufu ajinyonga Morogoro

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,485
Reaction score
8,667
Kattika hali ya kustaajabisha wengi Fundi simu Maarufu mkoani Morogoro aliyejulikana kwa jina la Rashidi Nyuki, mkazi wa Kihonda VETA amejiua kwa kujinyonga.

Hakuacha ujumbe wowote polisi wanaendelea na uchunguzi.

IMG-20210221-WA0015.jpg
 
Daaah aisee taarifa za kusikitisha sana hizi, ila jeshi la polisi chondechonde watilie mkazo uchunguzi juu ya kujinyonga kwake.
 
Back
Top Bottom