Fundi simu hapa uliza chochote

Fundi simu hapa uliza chochote

Samsung ni simu nzuri kuanzia body mpaka uwezo wa kuprocess vitu japo swali lako lipo in general namimi nakujibu in general mpaka sasa kwa matoleo ya simu yaliyotoka kwa ubora samsung yupo juu ya redmin
Ubora wa :
Body
Kioo
Camera
Processor
Hapa umezungumza kimahaba
 
Una changamoto gani kwenye simu yako nikupe solution na bei ya matengenezo
Ulizq chochote notakujibu kwenye comment

Whatsapp 0757937196
Sumsung A10 ikizimika inaingia 'safe mode' then badhi ya apps zinakuwa disabled na kuirudisha kawaida inakataa
 
simu yangu ina mwaka wa tano haijadondoka wala kupasuka kioo, Ila kwa sasa kioo kimeachia upande mmoja ttzo ni nn ?
 
Mkuu,Nina simu aina ya Google pixel 5A 5G ilizima ghafla ,nilipeleka Kwa fundi wa hardware alikorokocha ikawaka lakini ikawa inastack fundi akashauri tuiflash baada ya kuflan network ikawa haisomi. Fundi aliifungua ukafanya yake ikawaka ila wiki Moja mbele ikazima mazima.
Kwa uzoefu wako unahisi shida ni Nini na je Kuna dalili ya kupona?
 
Hiyo sio competition ni ujinga kama unataka competition mhusika kasema anzisha uzi wako
Acha Ubinafsi Kiasi Hicho Mkuu....
Uzi bila watu Basi Hauna maana yeyote...
Pia jifunze kuishi na Watu wote Vizuri Sio unaishi vizuri na Watu wanaoegemea hisia zako tu...
Halafu unaona wengine wajinga Unakuwa mwepesi Kiasi Hicho unashindwa hadi kuhimili challenge
 
Sawa asante kushirirki
 
Sumsung A10 ikizimika inaingia 'safe mode' then badhi ya apps zinakuwa disabled na kuirudisha kawaida inakataa
A10 hiyo kina button zimejam ndo maana ikiwaka inajiweka safe mode app kuwa disabled ni kwasababu ya hiyo safe mode hivyo check button mkanda wake
 
Simu ya ni infinix nimeinunua laki na nusu imekataa kuunganisha wife, shida nini? Ila kupitia hot spot ya simu nyingine inakubali, nimejaribu settings zote inagoma, inanipa hadi option ya ku scan nimefanya hivyo lakin holaa!!!!
 
Mkuu,Nina simu aina ya Google pixel 5A 5G ilizima ghafla ,nilipeleka Kwa fundi wa hardware alikorokocha ikawaka lakini ikawa inastack fundi akashauri tuiflash baada ya kuflan network ikawa haisomi. Fundi aliifungua ukafanya yake ikawaka ila wiki Moja mbele ikazima mazima.
Kwa uzoefu wako unahisi shida ni Nini na je Kuna dalili ya kupona?
Katika matoleo ya pixel 5a ndo inaongoza kwa kuzima, hata yangu ilizima ghafla tuu
 
Back
Top Bottom