ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,700
- 39,156
Betri ikizingua ukibadilisha vip inafanya kazi kama ya mwanzoChangamoto yake huwa ni sanasana betri kwa pixel 4 4a
Pixel 5 huwa ni circuit
Pixel 3a pia nayo circuit
6a betri
Kwa upande wa betri upoteza ubora pqle unapofanya updates