Sasa Umejibu au haujui kuelewa... Au unachelewa kusikia au umesoma haraka harakaNajibu ulichouliza karibu
I am not closed mindedNi maoni yako hayo ila simu ni simu troubleshooting ni zile zile maana zina electronics ina basics zake simu ni circuit body displays na sensors
Uwezo wako wa ufundi unapoishia wenzako wanaanzia hapo na kwenda mbele ni vema ukajiongelea wewe ila usiwaongelee wengineI am not closed minded
Hata mimi ni fundi simu pia na deal na general electronics repair
Comments reservedUwezo wako wa ufundi unapoishia wenzako wanaanzia hapo na kwenda mbele ni vema ukajiongelea wewe ila usiwaongelee wengine
mkuu ni ipi changamoto ya aguos sense6 na sense7 plus?.Uwezo wako wa ufundi unapoishia wenzako wanaanzia hapo na kwenda mbele ni vema ukajiongelea wewe ila usiwaongelee wengine
Button nayozungumzia ni ile ya ndani kabisa, hizi za nje zilitoka nikawa natumia pini kubonyeza hivyo imeua pale ndani, nahisi pia ndio iliyochangia kuua kiooKubadilisha kioo note 9 ni 240k hivyo vibutton mpaka kupata body ni kati ya 30k
Hiyo inatengenezeka uko pande zipi nikupe conectionButton nayozungumzia ni ile ya ndani kabisa, hizi za nje zilitoka nikawa natumia pini kubonyeza hivyo imeua pale ndani, nahisi pia ndio iliyochangia kuua kioo
Hii ilivyokufa nimennua note 10+ ya dubai ila performance yake haikuti ile note 9 hata kidogo, kuanzia processor, camera and other features, naona bora nitengeneze ile ila nakua na wasiwasi kama itatengenezeka na kudumu hata mwaka mmoja, maana ni genuine nilinunua maduka ya Samsung kipindi zimetoka
Asante kwa kujibu ila ingekua vyema ukaanzisha uzi wako kuliko kuja kutafuta wateja kwenye platform aliyoanzisha mwenzio.Hiyo inatengenezeka uko pande zipi nikupe conection
Where there is No competition will be no businessAsante kwa kujibu ila ingekua vyema ukaanzisha uzi wako kuliko kuja kutafuta wateja kwenye platform aliyoanzisha mwenzio.
Kuna MTU alinunua simu mpya dukani kaliakoo baada ya siku 2 walikuja police kumkamata kwamba ni simu ya wizi. Fundi simu hii ikoje?Una changamoto gani kwenye simu yako nikupe solution na bei ya matengenezo
Ulizq chochote notakujibu kwenye comment
Whatsapp 0757937196
Acha kuwaharibia wenzako, comments zako tokea huko juu naona umekuja kukosoa tu hapa, mind your own businessWhere there is No competition will be no business
Noted with thanks
Inatengenezeka mkuu inapona kabisa chamsingi nikupata accessories zakeButton nayozungumzia ni ile ya ndani kabisa, hizi za nje zilitoka nikawa natumia pini kubonyeza hivyo imeua pale ndani, nahisi pia ndio iliyochangia kuua kioo
Hii ilivyokufa nimennua note 10+ ya dubai ila performance yake haikuti ile note 9 hata kidogo, kuanzia processor, camera and other features, naona bora nitengeneze ile ila nakua na wasiwasi kama itatengenezeka na kudumu hata mwaka mmoja, maana ni genuine nilinunua maduka ya Samsung kipindi zimetoka
Asante kwa kujibu ila ingekua vyema ukaanzisha uzi wako kuliko kuja kutafuta wateja kwenye platform aliyoanzisha mwenzi
Big up wote tukisimama hivi tutaenda sawaAsante kwa kujibu ila ingekua vyema ukaanzisha uzi wako kuliko kuja kutafuta wateja kwenye platform aliyoanzisha mwenzio.
Hiyo sio competition ni ujinga kama unataka competition mhusika kasema anzisha uzi wakoWhere there is No competition will be no business
Noted with thanks
Hiyo ni kweli kabisa inatokea simu nyingi Kariakoo sio mpya ni refurbished wanachofanya wanakuuzia kama mpya wanatafuta box cha kuzingatia check imei iendane na box na sio kwa sticker bali check ndani kabisa inayosoma ndani ndo iko kwa box pia unaweza kujilizisha kwa kuchek imei yako katika site ili uweze kujua info zakeKuna MTU alinunua simu mpya dukani kaliakoo baada ya siku 2 walikuja police kumkamata kwamba ni simu ya wizi. Fundi simu hii ikoje?
Kwa Aquos ni kweli na sio hizo tu niseme zote zinachangamoto sana sikushauri kabisa kwa hizi simu zina dosari nyingi za kiwandanimkuu ni ipi changamoto ya aguos sense6 na sense7 plus?.
Wewe ni winga siyo fundi. Naamini kabisa fundi kama fundi hawezi kuwa na akili kama zakoI am not closed minded
Hata mimi ni fundi simu piana deal na general electronics repair
Huwezi kuwa na solutions za simu zote
Kuna matatizo ya software na hardware
Huyu ni winga muacheni aokoteokote ila tahadhali izingatiweHiyo sio competition ni ujinga kama unataka competition mhusika kasema anzisha uzi wako
Hivyo nikija tunamaliza kaziInatengenezeka mkuu inapona kabisa chamsingi nikupata accessories zake