Asante kwa swali zuri kwa bahati mbaya simu haitumii ac air condition bali ina ic yaani integrated circuit hivyo hautawezaAc ya simu ikifa, je naweza kuunganisha na ac ya nyumbani?
Chochote kuhusu simuSoftware or hardware?
Processor ya pixel 6 ipojeUna changamoto gani kwenye simu yako nikupe solution na bei ya matengenezo
Ulizq chochote notakujibu kwenye comment
Whatsapp 0757937196
Karibu ndugu kwa bahati mbaya hiyo model ina hiyo changamoto yaani hiyo ni manufacture issue hivyo nakushauri kubadilisha simu ili kuepuka gharama za kubadilisha kila maranpe main cpu chip ya redmi 10c imekufa na znawekwa fake sm inawaka only few days haiwak tena wala ku show charging animation
Karibu kwa bahati mbaya model ya Arrows spare zake adimu hivyo vioo hivyo bado hatuna kwasasaUnakioo cha Docom arrows F014
Unaweza endapo debugging mode iko on na uliwahi kuconnect kwa pc mojawapo vinginevy ni ngumu kuweza kucconct kwenye pc na access storage yakeHivi hakuna namna naweza kuhamisha mafile kwa simu ambayo kioo hakisense.
Kioo cha pixel 4 unacho?? Je bei gani kama unacho??Asante kwa swali zuri unaweza kututajia simu unayotumia ili tuweze kukujibu kwa ufasaha
Okay...Unaweza endapo debugging mode iko on na uliwahi kuconnect kwa pc mojawapo vinginevy ni ngumu kuweza kucconct kwenye pc na access storage yake
Karibu sijaelewa vizuri swali lako kwa kifupi processor ya pixel 6 niProcessor ya pixel 6 ipoje
Octa-core (2x2.80 GHz Cortex-X1 & 2x2.25 GHz Cortex-A76 & 4x1.80 GHz Cortex-A55) |
kama n mtk miaka 2-3Simu ya android inatakiwa kubadilishwa baada ya miaka mingapi? Lifespan yake ikoje
Karibu kioo kipo bei ni 110 pamoja na kubadilishaKioo cha pixel 4 unacho?? Je bei gani kama unacho??
Changamoto yake huwa ni sanasana betri kwa pixel 4 4aGoogle pixel Huwa Zina changamoto gani?
Kwa bajeti hiyo nakushauri simu ya samsung series ya A unaweza kupata atleast yenye uwezo kidogoKwa bajeti ya laki tatu unashauri mteja anunue simu gani nzuri kwa matumizi ya Sasa
zingatia Simu iwe used au mpya.
0757937196Namba yako ya simu