Betri ikizingua ukibadilisha vip inafanya kazi kama ya mwanzoChangamoto yake huwa ni sanasana betri kwa pixel 4 4a
Pixel 5 huwa ni circuit
Pixel 3a pia nayo circuit
6a betri
Kwa upande wa betri upoteza ubora pqle unapofanya updates
Mnavyoniona hapa JF ndo nipo serious mkuu 😎Siku ukiwa serious we mpare utapata kilema😂😂😂
A56 5GKwa bajeti hiyo nakushauri simu ya samsung series ya A unaweza kupata atleast yenye uwezo kidogo
Series za A kidogo zinakaa chaji na accessories zake ni cheap pia simu inauwezo kulinganisha na kampuni nyingine
Android life span yake inaenda mpka miaka 20 ni kulingana na matumizi yako na utunzajiSimu ya android inatakiwa kubadilishwa baada ya miaka mingapi? Lifespan yake ikoje
Hiyo ulifanya update tayari inekufa hiyo karibu ubadilishe betri 0757937196Hiyo pixel 4a ishanipiga Mzinga wa betri View attachment 3376297
Upo wapiHiyo ulifanya update tayari inekufa hiyo karibu ubadilishe betri 0757937196
35k ubungo mawasilianoUpo wapi
Ni bei gani?
Asehh umejibu hiii auHicho kioo kidogo bei imechangamka 240k kubadilisha
35k ubungo mawasiliano
QUOTE UJUMBE ILI IWE RAHISI KUJUA JIBU MKUUHicho kioo kidogo bei imechangamka 240k kubadilisha
430kScreen Samsung S10+
Inakuwa sawaBetri ikizingua ukibadilisha vip inafanya kazi kama ya mwanzo
Simu ziko za aina nyingi ambazo zina matatizo aina mbali mbali huwezi mtu mmoja kutatua matatizo ya simu aina zoteUna changamoto gani kwenye simu yako nikupe solution na bei ya matengenezo
Ulizq chochote notakujibu kwenye comment
Whatsapp 0757937196
Hii ni Bei ya simu au screen Boss430k
Ni maoni yako hayo ila simu ni simu troubleshooting ni zile zile maana zina electronics ina basics zake simu ni circuit body displays na sensorsSimu ziko za aina nyingi ambazo zina matatizo aina mbali mbali huwezi mtu mmoja kutatua matatizo ya simu aina zote
I suggest you can only share your experience but not to have solutions to all cellphones
Najibu ulichouliza karibuHii ni Bei ya simu au screen Boss