Fundi simu hapa uliza chochote

npe main cpu chip ya redmi 10c imekufa na znawekwa fake sm inawaka only few days haiwak tena wala ku show charging animation
Karibu ndugu kwa bahati mbaya hiyo model ina hiyo changamoto yaani hiyo ni manufacture issue hivyo nakushauri kubadilisha simu ili kuepuka gharama za kubadilisha kila mara
 
Hivi hakuna namna naweza kuhamisha mafile kwa simu ambayo kioo hakisense.
 
Google pixel Huwa Zina changamoto gani?
 
Kwa bajeti ya laki tatu unashauri mteja anunue simu gani nzuri kwa matumizi ya Sasa
zingatia Simu iwe used au mpya.
 
Kwa bajeti ya laki tatu unashauri mteja anunue simu gani nzuri kwa matumizi ya Sasa
zingatia Simu iwe used au mpya.
Kwa bajeti hiyo nakushauri simu ya samsung series ya A unaweza kupata atleast yenye uwezo kidogo
Series za A kidogo zinakaa chaji na accessories zake ni cheap pia simu inauwezo kulinganisha na kampuni nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…