Namuunga mkono huyo jamaa kwa namna alivyoliona kosa
Lakini hakustahili kumpiga mkewe!
Nakuunga mkono Mkuu. Alitumia busara kudeal na anayemuhusu ambaye ni mke wake. Ila namna alivuodeal naye ni uncouth!!!
Namuunga mkono huyo jamaa kwa namna alivyoliona kosa
Lakini hakustahili kumpiga mkewe!
Kapata faida kubwa moja wapo kumshikisha adabu mwanamke mzinzi.
Kumegewa mke halali wa ndoa umempiga pamba soap soap, lips stick, saloon alafu jamaa linakuja kujibebea kiulaini.
asichinjwe tuu, hicho kipigo kinatosha. mke wa mtu sumu ila mume wa mtu ..........!
Mbona wewe mzinzi sana lakini sikupigi, mume wangu!!! unaishia kunibembeleza na vito vya thamani na wax mpiya???? Kwa kauli yako hii sasa nakwenda kujifunza kongfuu kwa wachina, utanikomaje!!!
inauma ukimpiga soap soap eeehh!!! wangapi mjini hapa wanapigwa soap soap na wake zao halafu ni vicheche kupindukia na wakifumaniwa na wake zao hawapigwi!!! mmeshaona mwanamke ni sehemu ya kufanyia mazoezi? na mnatuonea sababu mnajua tupo legelege! Mwanamke hapigwi kwa mkono bali anapigwa kwa mahitaji na chakula cha usiku kiwe KITAMU
Hahaha Nadidi tatizo hujawahi nifumania ukinifumania una haki ya kunidunda
Ngoja tu nisikuaibishe
Inauma sana mi ndo maana nimefanya mgomo baridi wa kukupendezesha haiwezekani ung'ae alafu vibaka wakuopoe kiulaini na kwenda kukumega
Angalia usije ukaachika ukiendelea na msimamo huo
Angalia usije ukaachika ukiendelea na msimamo huo
![]()
Jamaa amembeba juu juu kama gunia la maharage
![]()
Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo
![]()
Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania
![]()
Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani.
Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.
Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.
Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha.
Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.
Kwa wanaojua sheria hii imekaaje???
piga kabisa kenge uyo.
Heaven on earth you the next
hapa sheria ya kitandani ni kumtandika tu na ukimfikisha nyumbani unachukua sheria kiunoni alafu unamfungashia akwende kwao.
Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha.
Hivi kwa mfano ukimpiga alafu awe alishakongoroka siku nyingi akakufia wakati wa kipigo unafanyaje.......
Mimi siku zote huwa najitaidi sana kumfanya mtu wangu asitoke njee kwa kuhakikisha majukumu yangu kama mwanaume nayatimiza kila idara. Hata akitoka nikajua sitompiga, tachunguza madhaifu yangu kwanza. Nitaongea naye, tufike muhafaka yaishe siku hiyo hiyo. ile dhana ya mwanaume ndio mwenye haki ya kwenda nyumba ya kando, mwanamke ikitokea imepitwa na wakati. kabla ya kutoa hukumu, jiulize wewe upo vyema. Tutazungumza mara ya kwanza, ya pili ya tatu. Asipo nisikia, namwambia mama kwa heri ya kuonana. Si dhani kama ni vyema kumpiga alafu usiku kitandani unamwambia sogea huku.