Fumanizi hili Guest house Iringa

Fumanizi hili Guest house Iringa

Hayajakukuta....na kama hujui kinachoongeza mzuka si kumpenda sana ila unawaza mengi kama "inamaana jamaa amemkunja kuku wangu ninavyomkunjaga!!!!" hapo hata death penalty huwazi aitheeeeee

mkuu hapo ndiyo unapaswa kufanya all the shits to you woman ,na yeye einjoyi mwisho wa siku usiwaze hayo,,,,,,,,,,,, maana ukiyawaza hayo unaweza ukafa kwakweli,,,,,,,, kwa maana kuna wanawake ni watamu bana , unatamani uwe ndiyo last man kuigegeda hiyo papuchi mpaka atakapo RIP.
 
Ila ktk dawa nzuri ninayoipenda kwa wezi (mgoni na wife) ni ile ya kuwagundisha yaani kuwanatisha ile poa thanaaaa unawakuta na pozi(style) lao waliloanza nalo

ukifumania mkuu haifai kuweka inzi ,,,,,, kwani hiyo fedheha hurudi pia kwa mfumaniaji pia , hapo ni kugawa adhabu kimya kimya bila bugudha za kuja kunyooshewa vidole.
 
Ha ha ha umelenga mkuu nilikuwa na toto moja hiyo mbaya zaidi nilikuwa nasoma nayo bwana eeh hata kusalimiana na boys class nikawa naweka kibez. Mkuu kuna toto zimetulia bhana kugegeda bwana acha tu waweza katwa kidole usijue mpaka baada ya kubanduka pale kwenye cream
 
Hata kama kamfumania, hakutakiwa kumpiga, TGNP na TAMWA waingilie kati, unyanyasaji wa kijinsia huu.
Anaweza kufa kwa kipigo hiki, nani anajua kama hapata madhara makubwa ya ndani?

...huyo bwana hana kosa coz ametekeleza ile amri halali ya waziri mkuu "na apigwe tu kwa maana hakuna namna yoyote"...
 
ukifumania mkuu haifai kuweka inzi ,,,,,, kwani hiyo fedheha hurudi pia kwa mfumaniaji pia , hapo ni kugawa adhabu kimya kimya bila bugudha za kuja kunyooshewa vidole.

Mkuu kuna wanawake wengine wabishi jitu una uhakika linacheat bado linagoma wajanaja huamua kumuumbua kwa gundi na sasa hivi kuna jamaa mmoja kitaa anatoa hiyo ndumba anauza kweli amekuja juzi juzi sasa bado tusubiri tuanze kuona black movies muda si mrefu ukisikia sehemu kimenuka ujue ndio pande zetu so kuwa makini uenda shem nae kapata hiyo kitu kukutega kwi kwi kwi tusije ku upload picha zako hapa bila kujua ni wewe
 
...huyo bwana hana kosa coz ametekeleza ile amri halali ya waziri mkuu "na apigwe tu kwa maana hakuna namna yoyote"...

Naunga mkono hoja. Maana watu wanadhani slogan ya wapigwe tu ni kwenye siasa pekee sivyo hata kwenye mambo ya unyumba
 
FUMANIZI+1.jpg

Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo

FUMANIZI+2.jpg

Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania
JAMAA+AKIONDOKA+NA+MKEWE.jpg

Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani.

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.

Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.

Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha.

Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.
hivi wewe unadhani kwa nini mashuhuda wengi ni wanawake....
 
Ha ha ha umelenga mkuu nilikuwa na toto moja hiyo mbaya zaidi nilikuwa nasoma nayo bwana eeh hata kusalimiana na boys class nikawa naweka kibez. Mkuu kuna toto zimetulia bhana kugegeda bwana acha tu waweza katwa kidole usijue mpaka baada ya kubanduka pale kwenye cream

ha ha ha ha ha!!!!!! mkuu yaani kuna watoto ni adimu , kuna style ukimuweka unatamani mpaka umn'ateng'ate au kama angekuwa analiwa umtafune mpaka mifupa,,,,,,,,,,,,,
 
Mkuu kuna wanawake wengine wabishi jitu una uhakika linacheat bado linagoma wajanaja huamua kumuumbua kwa gundi na sasa hivi kuna jamaa mmoja kitaa anatoa hiyo ndumba anauza kweli amekuja juzi juzi sasa bado tusubiri tuanze kuona black movies muda si mrefu ukisikia sehemu kimenuka ujue ndio pande zetu so kuwa makini uenda shem nae kapata hiyo kitu kukutega kwi kwi kwi tusije ku upload picha zako hapa bila kujua ni wewe

duh! huko kwenu kiboko , shemu wako mimi hana hizo mambo ya giza giza ,,,,,,,,, halafu ni miongoni mwa wale watoto watamu , hamu haiishi kila ukimuona au kumuwazia,,,,,,,,
 
Mkiwaambia wasitoke nje ya ndoa wakatoka muwapige tu....
Wapigwe tu, tumechoka sasa...

babu Pinda wanao huku wanatekeleza ile kauli yako ile..yaani JF ni zaidi ya burudani, ngoja nikanunue Panadol mbavu zimeanza kukorofisha..
 
Ila ktk dawa nzuri ninayoipenda kwa wezi (mgoni na wife) ni ile ya kuwagundisha yaani kuwanatisha ile poa thanaaaa unawakuta na pozi(style) lao waliloanza nalo

mmmh sa hapo inabidi uende kwa waganga wa Kienyeji kuipata hiyo dawa

Ila mi bado siafiki kupigwa bana
 
Ha ha ha umelenga mkuu nilikuwa na toto moja hiyo mbaya zaidi nilikuwa nasoma nayo bwana eeh hata kusalimiana na boys class nikawa naweka kibez. Mkuu kuna toto zimetulia bhana kugegeda bwana acha tu waweza katwa kidole usijue mpaka baada ya kubanduka pale kwenye cream

hahaa napatia pozi la kuwa unakatwa Kidole husikii maumivu zaidi ya

utamu wa papuchi lol!!!!!
 
.kutoa kipigo kwakweli haikuwa sehemu ya suluhu, ndio fumanizi lina maumivu ndani yake lakini kulikuwa kuna haja ya kufahamu zaidi kwanini huyo binti (manake kwa mwonekano ni bado binti mdogo) kaingia katika usaliti..na kama eneo la tukio ndo Guest House ilipo, nina kila sababu za kusema vijana tufanye kazi UMASKINI ni UGONJWA. na hii inanilazimu kusema dada huyu alirubuniwa kwa PESA...zaidi namuunga mkono kaka kwamtoro tufikie hatua basi ya kuweza kuwatosheleza viumbe hawa kwa kila kitu, hata ikitokea unaibiwa basi isiwe katika mazingira duni ambayo kwa sehemu fulani nawe unakuwa umechangia..narudia tena kutoa kipigo kwanza ni ufahamu mdogo na pia ishara ya udhaifu/mapungufu ya mhusika kushindwa kumudu mambo muhimu ndani ya maisha ya mahusiano..
 
Kupiga mke ni udhaifu ila kwa swala la uzinifu, lolote litakalonijia akilini nitafanya, matokeo baadae...
Inawezekana kuna mambo simtimizii, lakini hamna bin adam aliyeumbwa mkamilifu, basi aniambie tuyaweke sawa!

Swala la kutoka nje ya ndoa halina mjadala, ukitaka mwenza akuheshimu basi nawe jiheshimu, linda ndoa yako!
 
.kutoa kipigo kwakweli haikuwa sehemu ya suluhu, ndio fumanizi lina maumivu ndani yake lakini kulikuwa kuna haja ya kufahamu zaidi kwanini huyo binti (manake kwa mwonekano ni bado binti mdogo) kaingia katika usaliti..na kama eneo la tukio ndo Guest House ilipo, nina kila sababu za kusema vijana tufanye kazi UMASKINI ni UGONJWA. na hii inanilazimu kusema dada huyu alirubuniwa kwa PESA...zaidi namuunga mkono kaka kwamtoro tufikie hatua basi ya kuweza kuwatosheleza viumbe hawa kwa kila kitu, hata ikitokea unaibiwa basi isiwe katika mazingira duni ambayo kwa sehemu fulani nawe unakuwa umechangia..narudia tena kutoa kipigo kwanza ni ufahamu mdogo na pia ishara ya udhaifu/mapungufu ya mhusika kushindwa kumudu mambo muhimu ndani ya maisha ya mahusiano..

I agree mkuu !!!! Umasikini ni ugonjwa!!! People should get well soon!!!
 
asichinjwe tuu, hicho kipigo kinatosha. mke wa mtu sumu ila mume wa mtu ..........!

Umenichekesha kinoma. Siku hizi hakuna kitu kama hicho.....kuolewa ni jina tu, watu tuna share pale wanandoa wanapochokana.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Back
Top Bottom