Fumanizi hili Guest house Iringa

Fumanizi hili Guest house Iringa

Duh! Anaukika kama jamaa alikua hatambui huyo ke ni Mke wa watu?
Adabu na fundisho zuri lingepatikana kwa kuwahukumu wote!!

Haaaa !!! Mkuu inategemea umemfuma na mtu wa aina gani..wengine ni akina "Tyson" utaacha kumwambia nenda?..u-deal na wife!!??
 
TGNP na TAMWA ndio walimtolea mahari huyo bwana?...acha mtu apewe mkong'oto kidogo maana hakuna taasisi inayoshughulikia mafumanizi

Hivi kwa mfano ukimpiga alafu awe alishakongoroka siku nyingi akakufia wakati wa kipigo unafanyaje.......
 
Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

Ila nimesoma hiyo stori nimeishia kucheka tena ......
 
Mimi siku zote huwa najitaidi sana kumfanya mtu wangu asitoke njee kwa kuhakikisha majukumu yangu kama mwanaume nayatimiza kila idara. Hata akitoka nikajua sitompiga, tachunguza madhaifu yangu kwanza. Nitaongea naye, tufike muhafaka yaishe siku hiyo hiyo. ile dhana ya mwanaume ndio mwenye haki ya kwenda nyumba ya kando, mwanamke ikitokea imepitwa na wakati. kabla ya kutoa hukumu, jiulize wewe upo vyema. Tutazungumza mara ya kwanza, ya pili ya tatu. Asipo nisikia, namwambia mama kwa heri ya kuonana. Si dhani kama ni vyema kumpiga alafu usiku kitandani unamwambia sogea huku.
 
Hiyo kali. Kwa upande wangu nakata kifanyio cha mgoni. Halafu nawaruhusu waende wakasajili ndoa yao.
 
Kha...kwani kipigo kinafundisha?Wale wanaopigwa wameacha uzinzi?Au wizi wanaopigwa mpaka wakauliwa,imepunguza idadi ya wizi wanaoiba?

Kwa kuwa jamaa kaoa mke mmoja na sio wake wengi, habari ya uzinzi i juu ya huyo mke mmoja...

Mi nasema dunda mingumi ya kutosha na rudisha kwao huko akaugulie maumivu...
 
Hivi kwa mfano ukimpiga alafu awe alishakongoroka siku nyingi akakufia wakati wa kipigo unafanyaje.......

Ushasema "kwa mfano"...hivyo hata jibu langu litakuwa bounded kwa condition uliyoweka...so am not going to answer that
 
Mkiwaambia wasitoke nje ya ndoa wakatoka muwapige tu....
Wapigwe tu, tumechoka sasa...
 
Duh, huyo mwanamke naye mkali asubuhi yote hii, au alilala huko jamani, maana kama saa tatu tukio limetokea, it means around saa mbili alikuwa eneo la tukio already hata hiyo guest house huenda hawajaanza usafi maana wateja wengi unakuta wamelala bado.

Sidhani kama baada ya hapo kuna ndoa tena, na kama ipo sijui kama imani itakuja kurejea baina ya hao wanandoa, na hata yule bwana aliyeachwa aende zake kisa eti hana kosa, sijui kama huko aliko anapumua salama.

Unzinzi ni dhambi, lakini unapoufanya kwa mke wa mtu ama mume wa mtu nadhani ni dhambi maradufu, tutafakari zaidi kabla ya kufanya uamuzi ya kishetani.

Huyo dada kwa jinsi alivyokamatwa, na muda huo, hakika kwa mwanaume yeyote anaipenda ndoa yake kipigo kwa huyo dada hakiepukiki, japo nimeona wengine sijui wanasema TGNP, TAMWA nk, as if hizo taasisi zipo kuwatetea wanzizi ama ndizo zimemtuma kuzini tena asb yote hii. Kwenye ndoa tu muda kama kama hakuna sababu za msingi sana huwezi kuta wanandoa wanafanya mapenzi japo kwao ni halali kabisa na hawana kizuizi cha muda sasa wewe na wizi wako unajihimu kana kwamba ndio kazi yako, hapina wakupige tu wewe.
 
Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.

Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!

Na mimi nikikufumania nikushushie kipigo wewe na jamaa nimruhusu atambae?
 
Kwa kuwa jamaa kaoa mke mmoja na sio wake wengi, habari ya uzinzi i juu ya huyo mke mmoja...

Mi nasema dunda mingumi ya kutosha na rudisha kwao huko akaugulie maumivu...
Ehhh huyo mkeo ana kazi...Hapa hapigwi mtu TUTAPIGANA :fencing:
 
Mke wangu awe na kazi kwani nimemfumania?



Ushawahi kufumaniwa au unatamani kufumaniwa?

Iweje ujihakikishie kuwa utapigana?
Sikubali kupigwa by any means...TRY ME watu8 lol
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha...watu wanajua kutumia muda vizuri. Saa 2 asubuh!! Kha!
 
Back
Top Bottom