Fumanizi hili Guest house Iringa

Fumanizi hili Guest house Iringa

FUMANIZI+1.jpg

Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo

FUMANIZI+2.jpg

Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania
JAMAA+AKIONDOKA+NA+MKEWE.jpg

Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani.

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.

Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.

Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha.

Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.
hii kitu uisikie tu kwa wenzako lakini omba isikutokee ni janga mke wa mtu sumu mara mmenasana,mara kipigo kikali duu inatishana
 
Back
Top Bottom