asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Ehhh huyo mkeo ana kazi...Hapa hapigwi mtu TUTAPIGANA :fencing:
ufumaniwe halafu upigane,,,,,,,,,,?
its impractical kwakweli,,,,,,,,
Ehhh huyo mkeo ana kazi...Hapa hapigwi mtu TUTAPIGANA :fencing:
ufumaniwe halafu upigane,,,,,,,,,,?
its impractical kwakweli,,,,,,,,
na wanakufaga kweli , tena kibao kimoja tu mtu ananyooka,,,,,,,,,mpaka uchunguzi ukamilike uachiwe , ushapoteza mengi..........
Na kwanini anipige kama kanifumania?kwani hana mdomo?ufumaniwe halafu upigane,,,,,,,,,,?
its impractical kwakweli,,,,,,,,
Na majuto ni siku zote ni mjukuu........Hasira huwa inakuwepo lakin its better ukajua how
to control your anger.........
Hahaaaa nimepatia Pozi la kukutwa unabanjuliwa afu ukaanza kupigana.....
aisee we kweli unakuwa ni Pasua kichwa........
ha ha ha ha ha ha!!!!!!! itawezekana wapi na fedheha uliyoipata hapo......?
sikubali kipigo na sitaruhusu kufumaniwa wala kufumania
Unadhani hatujui basi....ya kujifanya we Bingwa wa mwili wa mwenzako...... waweza kushangaa unapata Murder case buree.........haya mambo tunayaona sana huku mitaani .............kuna mmoja juzi juzi mwanza hapo kampiga dogo kibao , dogo hapo hapo akanyooka chali,,,,,,,,,, jamaa kapigwa ndani , mara ya mwisho nasikia kunakamchakato wa kuhonga kama 20M ili alione jua tena uraiani.
Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.
Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!
ile kufumaniwa ni fedheha tosha.......hata nguvu za kupigana utakuwa nazo
basi.....hapo unakuwa mdogo kama piritoni......
Na kwanini anipige kama kanifumania?kwani hana mdomo?
Unadhani hatujui basi....ya kujifanya we Bingwa wa mwili wa mwenzako...... waweza kushangaa unapata Murder case buree.........haya mambo tunayaona sana huku mitaani .............
We unataka usemwe kwa mdomo thubutu
Mie hata nifumaniwe, kipigo Nope!
Aniache, ana uhuru huo na sijamgandia kma gundi
Hahaaaa nimepatia Pozi la kukutwa unabanjuliwa afu ukaanza kupigana.....
aisee we kweli unakuwa ni Pasua kichwa........
kuna nyingine Muheshimiwa fulani alikuja na ndugu yake captain wa jeshi wanataka huduma fulani hivi kazini , nikashanga mheshimiwa yupo very close na mimi na mipango kibao mwisho wa siku kumbe huyo ndugu yake alikuwa na kesi polisi ya kumrestisha in peace kibaka kwa kushirikiana na wananchi wengine alipojaribu kumuibia,,,,,,,,,, kumbe alikuwa anataka nimjazie document fulani hizi , kwa opinion za utaalamu wangu ili ile kesi ifutwe..........
haya mambo ya kupiga piga watu hayafaa , huwezi jua D-Day yako ni lini.........
ile kufumaniwa ni fedheha tosha.......hata nguvu za kupigana utakuwa nazo
basi.....hapo unakuwa mdogo kama piritoni......