Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,541
- 139,849
Bora basi uuze kwa malipo, yaani unauza kwa maelekezo tu
Aliyeingizwa kala ngapi?Kauza match ndio maana wamemtoa kenge huyu
Una uhakika hatukumfunga? Wamepewa na Simba au Refa kule Zanzibar? Wamepewa na Simba au Refa aloyechezesha mechi yao na KMC?Hizo points 2 anazo ongoza Yanga hapo kileleni kapewa na Simba so tusiwalaumu Singida kama tungekua serious tungemfunga sisi
Ukiwa mbumbumbu ni rahisi sana kudanganyika, unangoza goli mbili zinarudi lawama apewe SingidaUna uhakika hatukumfunga? Wamepewa na Simba au Refa kule Zanzibar? Wamepewa na Simba au Refa aloyechezesha mechi yao na KMC?
Ni kama tu ilivyokuwa jana kati ya simba na Coastal union! Hakuna jipya. Hadi jezi, mmoja alivaa nyekundu na mwingine akavaa nyeupe na nyekundu.Wanaotegemea Singida BS wataleta upinzani wa dhati kwa Yanga watakuwa ni wageni kwenye soka la bongo.
Kwa hiyo hamkutoa sare na Yanga kwenye mechi zote mbili!Una uhakika hatukumfunga? Wamepewa na Simba au Refa kule Zanzibar? Wamepewa na Simba au Refa aloyechezesha mechi yao na KMC?
Mwanzoni nilipokua nikisoma na kuisikia kua kule Madimbwini wenye akili ni wawili tu niliona kama ni utani ,lkn Kwa kuangalia mechi ya Yanga na SBS nimejiridhisha kabisa kua yangu vichwani ni empty set,yaani sifuri,na sifuri maana yake hamna kitu.Wananchi ni wataalamu wa kujitekenya na kucheka wenyewe!
Uliangalia mechi ya Simba na Coastal au ulisimuliwa.Timu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga magoli 3-0 dhidi ya Singida Big Stars
Magoli ya Yanga yalifungwa na Allan Okello (Star Boy) magoli mawili na Mudathir goli moja
Kwa ushindi huo Yanga wamerudi kileleni mwa ligi wakiwa na points 57, huku wakiwa wamebakiza mechi 6
===========
Leo tena weekend inaanza na game hii young african dhidi ya walima alizeti
Je ni kwanini klabu ya simba na coastal zikiwa zinacheza zinahusishwa kua ni klabu zinazoachiana matokeo hii imekua hivyo hivyo pia kati ya young african dhidi ya singida stars kuitwa mtu na dada ake wanacheza
Je tatizo inakua nini ni kwasababu ya timu zote kua na udhamini mmoja
Abdalah vs DullaCapital letter A vs small letter a