gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 13,019
- 16,020
Vipi kadi za njano hazijaanza kwa kmc?Ila Simba wachezaji wamechoka aisee pamoja na rotation ya baadhi yao ila wengi wanaonekana kuchoka hasahasa Hamza
Vipi kadi za njano hazijaanza kwa kmc?Ila Simba wachezaji wamechoka aisee pamoja na rotation ya baadhi yao ila wengi wanaonekana kuchoka hasahasa Hamza
Idd ya kuchinja yajaMkwala auawe
Mukwala anazingua sana ili asilaumike Simba ishinde hii mechiIdd ya kuchinja yaja
Hapakuwa na dk 5 za nyongeza sema ni maelekezo
😂Diarra kashuka kiwango ila according to wachambuzHakuna kipa hapo
Simba akiongoza GSM B. Hawapotezi muda kama wakiwa sare au ikiwa Simba imetanguliwa. Game ya mashujaa kipa mpaka anaingia zishapotea 10min. Ulitaka ziongezwe tatu?Simba akiongoza kama dakika zilizochezwa ni zaidi ya 90 basi refa atamaliza mpira ila kama bila bila au kafungwa basi mtanange utaenda hadi simba iongoze hata dakika zaidi ya 280.
Zimeanza kwa SimbaVipi kadi za njano hazijaanza kwa kmc?
Kama nimeona sanduku jekundu la malalamikoHapakuwa na dk 5 za nyongeza sema ni maelekezo
Basi pelekeni shauri CAS zikiongezwa nyingi team pinzani wawaingize mabeki wa nyuma mwiko wote kwa dakika zilizoongezwa.Ndio
Safi miamala isome ndugu zenu wamalize sare.Simba akitoka draw mechi hii, Yanga bingwa tayari
Amka usingiziniSimba akitoka draw mechi hii, Yanga bingwa tayari
Safi miamala isome ndugu zenu wamalize sare.