Full Time |NBC PL| KMC 1-2 Simba SC | KMC Complex, Mwenge | 16:00

Full Time |NBC PL| KMC 1-2 Simba SC | KMC Complex, Mwenge | 16:00

Mbungi itapigwa leo majira ya saa kumi kamili katika kiwanja cha KMC

Kikosi cha Simba
View attachment 3331003
Kikosi cha KMC
View attachment 3331008
KMC inaongoza?
1746965120674.jpg
 
Camara kabeti GG..ule mpira kaupaka mafuta kidizaini..wakati mwingine game kama hizi ndio zakulipa marejesho kwa mdhamini...watu sio wajinga bana!
 
Wachezaji wa simba wamejaa ubinafsi sana.Ndo kitakachowaangusha simba dakika za mwisho katika kila mashindano msimu huu.Yani wana ile ngoja nioneshe me naweza!
Ona sasa.
 
Back
Top Bottom