Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,300
Ni Mjinga TU asietambua Sheria ya penati katika mchezo wa mpira wa miguu.
Na wajinga kama hao wamo Yanga.
Ni kama vile jinsi wezi wanavyoichukia Polisi na mahalama.
Ni Mjinga TU asietambua Sheria ya penati katika mchezo wa mpira wa miguu.
Na wajinga kama hao wamo Yanga.
Ni kama vile jinsi wezi wanavyoichukia Polisi na mahalama.
Mtaletwa uwanjani na pingu mikononi na mtacheza kwa lazima mtake mistake.Yanga haichezi Derby, nyie watu mnaishi nchi gani, Ukraine au?
Sisi Yanga tunasikitika leo hakukuwa na penatiHivi kumbe simba alikua uwanjani leo? Mapenati fc
Mi siyo chadema,silalamikiUnalalamika au unatoa updates
Maana ninyi kwa kulalamika tu, hadi tunashindwa kutofautisha
Watajua wenyewe
Hayo ni maneno ya mitandaoni wamewaachia mashabiki tu, uongozi wa Yanga upo kimya maana wanajua watacheza
Mpira unachezwa na wachezaji ambao wameajiriwa na wanalipwa na viongozi. Wachezaji hawawezi kuacha kumsikiliza Hersi wakakusikiliza wewe mla mihogoMpira unachezwa na viongozi? Slogan ya Yanga wote ni HATUCHEZI SISI..!!
Mpira unachezwa na wachezaji ambao wameajiriwa na wanalipwa na viongozi. Wachezaji hawawezi kuacha kumsikiliza Hersi wakakusikiliza wewe mla mihogo
Ulizia kwanza kuwa Lupweko ni jina la asili ganiOmba radhi haraka, mimi sio ordinary individual, la sivyo nakushusha mshipa maisha yako yote. Fanya hivyo.