Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,880
- 14,185
Mleta mada tuwekee updates au kwa vile wewe ni kolokwinyoo.
Na dakika 20 za nyongeza.Hapa sasa tusubili kadi nyekundu na penalty
Nimekuta mchezaji wa KMC anatolewa shida ilikuwa nini?Cha msingi hakuna clean sheet kushinda lazima Simba ishinde hata ikibidi kmc kutoka dam
Rais mwenyewe wa nchi ni mwananmke!Makolo lazima game zetu kuwe na muamuzi wa jinsia Ke
June 15 watakuwepo wawili usijaliMakolo lazima game zetu kuwe na muamuzi wa jinsia Ke
Majeruhi. Aliangukiwa na Mutale!Anatolewa kwa red card au majeruhi?